SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huyu rubani🤣🤣🤣
IMG_20250622_230103.jpg
 
Hii vita ni ngumu kusimama ninachoona ni Israel kuanza kushambulia malazi ya raia
Una kumbuka hamas na hezbollah walikuwa na kambi zao hospitalini na chini ya hospitali, pia katikati ya makazi ya watu kukwepa kushambuliwa.

Lakini walipowagundua na kuanza kuwashambulia walianza kupunguza mizuka.

Ni strategy zao kujificha katikati ya makazi ya raia.
 
Ni furaha kubwa sana kwa watanzania wote kuona Makobaz wakinyooshwa
 
Screenshot_20250622-231146.png

Hio channel ina subscribe 3 million
Lakini wameweka live video ya 9 days ago.
Inaonyesha mashambulizi Israel.

SIdhani kama Kuna mashambulizi labda tusubiri baadae au kesho.
 
9View attachment 3379154
Hio channel ina subscribe 3 million
Lakini wameweka live video ya 9 days ago.
Inaonyesha mashambulizi Israel.

SIdhani kama Kuna mashambulizi labda tusubiri baadae au kesho.
CRUX ni channel ya zamani sana kijana. Ndio unaijua leo? It is owned by Catholic Church.

Uwe unafanya research kabla ya kuweka comment kama kitu hukijui
 
Back
Top Bottom