City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mashambulizi yanafanyika muda huu eneo la andisheh shahriar
Unapotosha mzee. Hapa watu wanaleta updates za ukweli. Wengine wapo mbali na mitandao wanategemea thread hii wapate updates.Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la Drak mountain - shiraz
Leo tupe source kwa sabb umezidi yan masaa 48 israel yy anashambuli tu mafuta anajaza saa ngap hao mapilot wanakula saa ngap zile ndege hazina hata vyoo haja wanaenda saa ngap ?Israel muda huu inashambulia kwa makombora eneo la karaj
Matusi ya nini mkuu? Kwani umetukanwa wewe au anazungumzia Iran? Tusisahau utanzania wetu kwa kujivika uiran au uislael wakati hawatujui wala hakuna faida yoyote tuipatayo kwa kuwatetea!!!!Kama intelligence ya Baba yako ilivyokuwa ndogo hadi mama yako aligongwa na wahuni na wewe ukazaliwa kwenye danguro
Tuletee wewe habari ambazo siyo za kupotoshaUnapotosha mzee. Hapa watu wanaleta updates za ukweli. Wengine wapo mbali na mitandao wanategemea thread hii wapate updates.
Acha kupotosha
Sawa muirani wa bonyokwa umeelewekaHakuna kitu hapo ...bomu pekee lenye uwezo wa kweli kusambaratisha underground facility za irani ni nuclear bunker na sivinginevyo
Mimi siyo muiran ila nipo sahihi kwenye fafanuzi zangu ...vituo vyo kijeshi nyeti vya irani vipo mita 160 au zaidi chini ya ardhi ...hivyo hizo silaha za marekani zina halibu midomo tu ya vituo vya iranSawa muirani wa bonyokwa umeeleweka