City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wako zaidi ya 3000, wanaingia kwa shiftIsrael pilots wao wanalala muda gani?
Kwani kuna mtu anakulazimisha kusoma update zake..rudi kule kwenye uchawa wa kumsifia macho mregezo kuwa hana deni na watanganyika..Tayari na mimi nimeshamuweka kwenye ignore list.
Hakuna kulalaVideo footage: mapambano makubwa muda huu yanaendelea boulevard Tehran