SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

For the first time and at a distance of 2,200 km:
The IAF fighter jets flew over Iranian territory and carried out strikes on storage facilities of long-range surface-to-surface missiles - "Khorramshahr", and tunnels that were being used for weapon storage in the Yazd area.

Commander of the Israeli Air Force, Maj. gen. Tomer Bar:
"In broad daylight, we surprised the 'Imam Hussein' missile headquarters in central Iran, the furthest target we've struck to date".
 
Media nchini Iran inareport kuwa Israel imefanya mashambulizi kwenye eneo la Parchin ambalo lip kusini mashariki mwa Iran, Ni eneo ambalo linahusika na utengebezaji wa vifaa vya jeshi. Taarifa zaidi zitatolewa
 
Video footage: jeshi la Iran likipambana kuzuia mashambulizi ya Israel eneo la Tehran campus phase 3
 

Attachments

  • 2025-06-23_04-53-46_0.mp4
    1.6 MB
Ndoto bado ipo ni swala la muda kabla jogoo ajaingia bandani basi ramani ya dunia itachorwa upya. Pale ilipo Israel ni eneo la makumbusho ya baadae.vizazi vitasoma historia kuwa kuna nchi ilikuwaga duniani ila ikatoweka gafla
Karne Sasa imepita, huo muda bado tuu 😂
 
Kwa hiyo tutauziwa mafuta ya Iran kutokea india
Ndio mkuu kama unakumbuka Tramp alizozana na India Sababu ya India kugoma kuacha kununua mafuta ya India ata GAS India inanunua Russia na kuwauzia mataifa ya ULAYA India ni mnufaika Mkuu wa migogolo hii Sasaá
Unaandika uongo mzee.
Uyu kapewa kazi na Walokole wenzie awe ivyo ivyo Vita kama anatangaza mech ya ya Simba na Yanga !!!

mwendo wake ndio uwo muda huu muda huu sasaivii sasa iviii sasaivi yote kuwapoza mioyo Walokole mana ndio ivyo tena Jehova kashawekwa kati na Wahuni wa Iran !!!

uyo jamaa ni proo Israel wakutupwa sasa apo zaid kufanya Propaganda atafanya kipi jehova ana aibika uko Israel tumpe pole tu jamaa kazi ya kutangaza Usiku mchana sio ndogo ,,
 
Back
Top Bottom