City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora magharibi mwa Tehran
Jamaa anamiliki twita yake mwenyewe.....Ulishafika Irani ukajionea hayo unayosema? nachojua wote tunaokoteza taarifa mitandaoni na karibia zote ni propaganda
Iran now anakaa masaa 24 ndio anarusha makombora 30Kumepoa
Israel pilots wao wanalala muda gani?Mashambulizi makubwa muda huu yanafanyika maeneo ya
- punk
- Tehranpars
- moshiriya
- sattari