Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,803
- 2,884
Kote huko hakuna jipya na raia wameruhusiwa kutoka njeAl Jazeera Kuna baadhi ya images walichelewa kuzipata maana Al Jazeera wanaripoti kutoka Jordan hawaruhusiwi ndani ya Israel.
Wacha nicheki BBC na Fox au CBS news maana wao wako ndani ya Israel kabisa.
Lakini ukilinganisha jana na leo kuna improvement kwa Israel ku intercept hayo makomboraMzee tulia madhara yataonekana tu.
Haifa inashambuliwa sasa hivi!Tulia ripoti itakuja kama ya Jana tu.
Jana si uliona madhara yalyaliyotokea
Kama unakaa sehemu umeme wa buku buku tuma namba ya luku tukuwekee wa 10,000 na wewe uone al jazeera wapo live kila kitu kinaonekana
Kilichokuwa kinatokea jana na leo ni vitu viwili tofauti
Remote zote umezikamataminapenda sana kuona vita,nimeathirika tokea mdogo napenda movie za vita.
Hapa leo silali nina limoti kama zote mkononi.🤸🤸🤸
AI
View: https://x.com/HananyaNaftali/status/1933981078559100975?t=z_wAEfFqSfhGui2cKPp3XA&s=19 huyu ni journalist wa kiisrael na ndio mkuu wa propaganda wao kwenye social media,analia mida hii huko mjini twitter
Hio mibomu yote wameizuia imepenya moja 2 sijui 3 basiJaman Israel inawaka moto
View attachment 3368825
Ngoja tuone maana huku vyombo vingine vinasema tofauti.Lakini ukilinganisha jana na leo kuna improvement kwa Israel ku intercept hayo makombora
Kuna muda nabana pumbu eti kuzuia kumbora lisitue,hii mizuka ni hatari.Remote zote umezikamata
Ya NyetanyahuHahaha sasa tumeanza kuwasahau HAMAS, SYRIA, Hezbollah, HOUTHI, Al Shabab, ISIS, na Al Qaeda.
Tumeingia kwenye phase ya mwisho.
Mkuu mimi ni muirani wa vunjo, angalau iron dome inawasaidia ila makombora ni mengo sana, mfano nimehesabu kombora 4 zimeshukaMkuu upo buza muda huu unajuaje kama missile za iran yanakua intercepted 😀,tuache ujuaji wabongo,israel mpaka sasa hawajajua wamepata athari kiasi mtu wa buza ushajua 😀
Tupe hivyo vyombo tuoneNgoja tuone maana huku vyombo vingine vinasema tofauti.