Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

 
kwan ukraine iko NATO dogo hebu fanya analysis zako vizuri kabla hajauliza hayo maswali
Sasa kama Ukraine hayupo Nato, ile misaada kutoka Nato ni ya nini? Je Zelensky anahutubia nchi wanachama wa Nato kama nani? Na leo Nato imekutana kwenye kikao cha dharura juu ya siala la ukraine. Wanakutana ili iweje? Na wamehaidi misaada zaidi. Ombi langu wasipeleke tu misaada, waingie kumtoa muhuni Putin. Misaada wametoa mingi, ila Ukraine inachapika mno... huo ndio ukweli, tuache propaganda na uhuni.

Pale mariupol imekua kama Syria, ile ni ulaya bwana. Tunaomba us aingie mzigoni.
 
Japan ni mshirika wa wapi kati ya US na Russia?
 
Nemov Anton Anatolyevich, born in 1986 did not reach Kharkov from Nevinnomyssk and tragically died on 03/07/22
 
Sio kweli bhana,kama NATO ikiingia mgogoro utakuwa mkubwa zaidi,ndio maana wanatumia hekima kukwepa dunia kutumbukia kwenye vita
 
Wanafahamu wanadili na mwendawazimu mwenye nyuklia za kutosha kuingamiza dunia yote na ambaye hawezi kusita kuzitumia kuumaliza ubinadamu wote pamoja na yeye akiwekwa kwenye kona.
Hamna Silaa za Nyuklia zinaweza kumaliza Binadamu wote Duniani,achana na propaganda na western.

Ujue Nchi za western ni wapumbavu sana kwa propaganda, kwa kuwa Vi Nchi vyao ni vidogo vidogo-ni wazi wakishambuliwa na hayo mabomu basi kuna uwezekano mkubwa wa kufutika moja kwa moja.Sasa wamehamisha propaganda hizo kuwa swala la Dunia.
 
Operator-radiotelephone operator of the anti-aircraft missile battery #6tp crew Nikita Aleksandrovich Birillo, born in 2000. from Miass did a special operation in Brovary and did a special operation on 09/03/22
 
35-year-old warrant officer Nikolai Naumov from the Chernyshkovsky district of the Volgograd region fell on the battlefield. This happens
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…