NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Naona Austria - Hungary inaanza kurudi taratibu. Upande mwingine Serbia anataka kuirudisha Yugoslavia.“We are not Ukrainians, we are not Russians, we are Hungarians... When asked which side Hungary is on, the answer is: Hungary is on the side of Hungary.”
This is how Viktor Orban responded to Zelensky's criticism of Budapest's position.
Earlier, Hungary rejected Ukraine's call to allow arms transfers through its territory and to abandon Russian oil and gas.
Galip SV Liwagu View attachment 2165035
kwann wapige hilo bomba la gas?View attachment 2165034
NATO na umoja wa ulaya wanasubiri nini kupiga Nordstream pipelines kama kweli hawataki gas ya Russia.
Hilo pipeline wanaliangalia kama roho, na wanaamini wanaweza baadae kufanya mazungumzo na Putin.
Uwezekano mkubwa wanaandaa maelezo kuwa wameshinda. Kwa mtazamaji wa nje ni dhahiri kwamba hawakumaliza jeshi la Ukraine lakini Warusi wengi wanapata pekee habari rasmi za serikali. Kwa hiyo wakitangaza wamemaliza jeshi la Ukraine inarahisisha kusema baadaye "Tumeshinda". Watahitaji maelezo kwa wananchi wao kwa nini wameenda na kwa nini wanaaacha vita. . .russia inasema awamu ya kwanza imeisha hvyo nguvu zinaelekezwa donbass, kutoendelea na juhudi za kuchukua miji mikubwa ya kharkiv na kiev kuna maanisha nn? haikua lengo au wamebadili malengo?
wananchi wake. Hujaona video?Nimekuuliza swali, Nani alimuua Gaddafi
Mpaka sasa ni mda gani umepita toka apeleke silaha Ukraine?Mkuu una utani mbaya, ukitoa nuklia ambazo zinaweza kuleta pande zote, Russia hana uwezo wa kuihimili NATO ndani ya mwezi.
Hilo swali nimeelekeza kwa pro putin mjinga aliyesema NATO ilimuua Gaddafiwananchi wake. Hujaona video?