LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hata mchina rafikiye wa kufa na kuzikana ashaanza kumgeuka benki zake mbili kubwa zimeaanza i.e.Chinese banks limit financing for Russian purchases. . Putin hata akishinda ila kiuchumi atakuwa kapoteza vingi na hapo ndipo ninapoona kweli US baba lao kapigana vita haramu nyingi tu but si urusi wala china waliomwekea vikwazo vya biashara maana walijua wanaihitaji sana US na rafikize aisee kweli bosi anuniwi!
Putin alifanya 'mis-calculation' kuanzisha hii Vita.......

Hili litamgharimu mno hata kisiasa huenda ndio mwanzo wa anguko lake kwenye siasa za Urusi.
 
(Hebu pitia humu kidogo)

Mkuu, hilo BM 21 imeachwa tu. Mashambulizi yakizidi mashine ikizingua unakimbia na kuiacha mashine. Au ikishambuliwa unatoka mnajibu mashambulizi, mnaliacha kwa sababu limeshaharibika.

Ni kama sisi kipindi cha uchaguzi 2020 baada ya wanajeshi wengi wa mipakani kuondolewa kupelekwa Znz, wale magaidi wa Msumbiji walifanya ambush Tz. Wanajeshi waliyozidiwa waliacha kifaru na kukimbia na kwenye vita ni kitu cha kawaida.

Hilo mosi. Pili, nataka kuona video zinazoonyesha wanajeshi wa Russia waliyouliwa kwa hiyo idadi wanayoitaja wao (3500). Kama hawana video basi angalau picha. Ukiingia mtandaoni utaona picha 3, 4, au 6 zikionyesha wanakeshi wa Urusi wawili au wa 4 wameuliwa. Kama hilo wameliweza kwa nini wasitupatie zinazolingana na idadi wanayoitaja wao (3500)? Au angalau zinazoendana na uwiano wa hiyo idadi (3500)?

Ninazo picha na video zinazoonyesha vifaru n.k za Ukriane zikiharibiwa kwa kushambuliwa.

Nimeona video za Ukraine baada ya kushushiwa kichapo, yaani maiti zao. Kwa nini hakuna video au picha kwa wingi zinazoonyesha miili ya wanajeshi wa Urusi kwa idadi hiyo wanayoitangaza? Wanasema wamewaua warusi 3500. Watupatie uthibitisho. Mbona wanamgambo wa dola ya Chechen iliyomo ndani ya Urusi wameonyesha leo wakiwaua 4?

Kwa nini kwa Urusi hawaonyeshi ili tukubaliane na takwimu wanayoitoa?
 
Kakutana na vijamaa vya dar vinashindia kiepe
basi kajumlisha na sisi vidume vya mkoani, hana lolote huyu kwanza anafanya nini hapo ufipa?
 
Still we shall miss Angela Merkel. Olaf is no match to that woman. At the moment Germany risk being a pariah state because it has been refusing to put sanctions on energy sector because one third of its energy it use is delivered from Russia. Also its car industry is so dependent on Russia raw materials and market s. This is something that Deutsche should have learn not to depend on one country for your major export or import. Putin prepared for this war since 2007. When he went after Georgia he was testing his army redness and he went further and annexed Crimea Europe valued its Business instead of refusing. Merkel with her flaws she had nerves to tell any man no. This coward of a chancellor..no!. Also USA should do more to counter that man. He will now go after Finns, Swedes, Polish, Hungary, Moldova and Romania. All use to be a sphere of influence within the USSR.
Olaf needed to send those weapons in January when things were escalating but he vetoed it when it was brought up in Brussels. He is relenting now because the pressure is intense at the moment.
None of them want to fight Putin, They were had a chance to negotiate before. But each of them ignored Russia demand and claim were 'non-sense'.

All they were doing is 'provocation' while they knew when war started they will left 'Ukraine' fight for himself.

Ok see what is going on now. Sijasikia media au kiongozi ata mmoja kutoka upande wao anaezungumzia 'suluhu' ya maongezi ifanyike baina ya pande hizo mbili zaidi ya kushutumu na kuweka "Sanctions" day after day while Ukrainians wanaendelea ku-suffer.

Kuna haja gani ya kupigana ilhali milango ya maongezi iko wazi. Mwisho wa siku utaona "Innocents" siku zote huteketea kisa mawazo au fikra mgando za wanasiasa wenye maslah yao binafs.

I assure you, hakuna Raia anaependa vita na ka mawazo ya nini kifanyike yangekuqa yanatoka kwa wananchi wenyewe naamin wangekaa chini wakayazungumza yakaisha...
 
Yupo front anawatapanya wanajeshi wa Russia hapo Kyiv,hapo ndipo kwenye graveyards ya Wanajeshi wa Russia mpaka sasa kaamua kutumia Intercontinental Ballistic Missiles.
 
Huyu dada kasema ukweli mtupu hakuna alipokosea,tukirudi enzi za mwendazake wanaume wote waligeuzwa wanawake,hakuna mwanaume hata mmoja aliyesema fyoko enzi zake,wakiongozwa na akina Nape na waliotinga Ikulu kumpigia magoti mwanaume mwenzao utafikri wanawake,aliyekuja kutia fora zaidi ya wote ni Ndugai.

Tanzania wanaoweza wakajiita wanaume ni wachache sana kama akina Tundu Lissu na wenzake wachache waliokataa kuvalishwa magauni na mwendazake, wengine waliosalia ni akina Ndugai walio kubali kuwa wanawake wakuvalishwa magauni na wanawake.
 
Amekosea ila yupo sahihi tu Wanaume tz waoga sana imagine mtu analala kuchapwa na mkuu wa wilaya sijui habishi hata. Kuna mambo ya kipuuzi yanafanyika tunakimbia hata panya road huko ukraine tungekaa kweli.
 
Sahau Hilo we unafikiri wenyewe kabla ya vita hawakupiga mahesabu?hao wanaplan zao.
Hujui kwamba Putin alidanganywa kwamba itakuwa rahisi sana kuiteka Ukraine hasa mji mkuu bila kukumbana na ukinzani mkali?

Aliamini anaungwa mkono na wanajeshi wa Ukraine ndipo alipowaambia waipindue serikali yao lakini wamegoma na wameendelea kuonesha utiifu kwa Rais wao ndo maana hadi leo siku ya tatu hajauteka mji mkuu wa Ukraine wala miji mingine mikubwa.

Raia wenyewe wameshika silaha wameingia mitaani kupambana na wanajeshi wa Urusi hadi kufikia wanajeshi wa Urusi kuvaa sare za jeshi la Ukraine ili kukwepa kutunguliwa na raia mitaani.

Hii vita usidhani ni rahisi hivyo Urusi kajiingiza kwenye balaa ambalo hakutarajia.

Marekani na Ulaya wameanza kupeleka vifaa vya kivita kumsaidia Ukraine sasa unadhani hii vita ni ya kuisha leo?
 
Back
Top Bottom