LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mume wako ndiye angekuwa wa kwanza kuingia uvunguni mwa kitanda.
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164

MUNGU Ibariki Tanzania
 
Mkuu, hilo BM 21 imeachwa tu. Mashambulizi yakizidi mashine ikizingua unakimbia na kuiacha mashine. Ni kama sisi kipindi cha uchaguzi 2020 baada ya wanajeshi wengi wa mipakani kuondolewa kupelekwa Znz, wale magaidi wa Msumbiji walifanya ambush Tz. Wanajeshi waliyozidiwa waliacha kifaru na kukimbia na kwenye vita ni kitu cha kawaida.

Hilo mosi. Pili, nataka kuona video zinazoonyesha wanajeshi wa Russia waliyouliwa kwa hiyo idadi wanayoitaja wao (3500). Kama hawana video basi angalau picha. Ukiingia mtandaoni utaona picha 3, 4, au 6 zikionyesha wanakeshi wa Urusi wawili au wa 4 wameuliwa. Kama hilo wameliweza kwa nini wasitupatie zinazolingana na idadi wanayoitaja wao (3500)? Au angalau zinazoendana na uwiano wa hiyo idadi (3500)?

Ninazo picha na video zinazoonyesha vifaru n.k za Ukriane zikiharibiwa kwa kushambuliwa.

Nimeona video za Ukraine baada ya kushushiwa kichapo, yaani maiti zao. Kwa nini hakuna video au picha kwa wingi zinazoonyesha miili ya wanajeshi wa Urusi kwa idadi hiyo wanayoitangaza? Wanasema wamewaua warusi 3500. Watupatie uthibitisho. Mbona wanamgambo wa dola ya Chechen iliyomo ndani ya Urusi wameonyesha leo wakiwaua 4?

Kwa nini kwa Urusi hawaonyeshi ili tukubaliane na takwimu wanayoitoa?
Kwahiyo mkuu unaamin hadi sasa warusi hawajauliwa wao ni robots? hakuna vita isiyo na madhara pande zote japo kwa sasa taarifa ni nyingi sana wewe amin unacho kiamini ila jua hata hao warusi unao waamini wapo walio marehemu kwa sasa.
 
Huyu dada kasema ukweli mtupu hakuna alipokosea,tukirudi enzi za mwendazake wanaume wote waligeuzwa wanawake hakuna mwanaume hata mmoja aliyesema fyoko enzi zake wakiongozwa na akina Nape na waliotinga Ikulu kumpigia magoti mwanaume mwenzao utafikri wana wake vile,aliyekuja kutia fora zaidi ya wote ni Ndugai.

Tanzania wanaoweza wakajiita wanaume ni wachache sana kama akina Tundu Lissu na wenzake wachache waliokataa kuvalishwa magauni na mwendazake, wengine waliosalia ni akina Ndugai walio kubali kuwa wanawake wakuvalishwa magauni na wanawake.

Sema wanaume unaowajua wewe ndio waligeuzwa wanawake

Maana Wanaume wengine wamebaki kuwa wanaume jana leo na milele

Hawajageuzwa
 
Mkuu, hilo BM 21 imeachwa tu. Mashambulizi yakizidi mashine ikizingua unakimbia na kuiacha mashine. Au ikishambuliwa unatoka mnajibu mashambulizi, mnaliacha kwa sababu limeshaharibika.

Ni kama sisi kipindi cha uchaguzi 2020 baada ya wanajeshi wengi wa mipakani kuondolewa kupelekwa Znz, wale magaidi wa Msumbiji walifanya ambush Tz. Wanajeshi waliyozidiwa waliacha kifaru na kukimbia na kwenye vita ni kitu cha kawaida.

Hilo mosi. Pili, nataka kuona video zinazoonyesha wanajeshi wa Russia waliyouliwa kwa hiyo idadi wanayoitaja wao (3500). Kama hawana video basi angalau picha. Ukiingia mtandaoni utaona picha 3, 4, au 6 zikionyesha wanakeshi wa Urusi wawili au wa 4 wameuliwa. Kama hilo wameliweza kwa nini wasitupatie zinazolingana na idadi wanayoitaja wao (3500)? Au angalau zinazoendana na uwiano wa hiyo idadi (3500)?

Ninazo picha na video zinazoonyesha vifaru n.k za Ukriane zikiharibiwa kwa kushambuliwa.

Nimeona video za Ukraine baada ya kushushiwa kichapo, yaani maiti zao. Kwa nini hakuna video au picha kwa wingi zinazoonyesha miili ya wanajeshi wa Urusi kwa idadi hiyo wanayoitangaza? Wanasema wamewaua warusi 3500. Watupatie uthibitisho. Mbona wanamgambo wa dola ya Chechen iliyomo ndani ya Urusi wameonyesha leo wakiwaua 4?

Kwa nini kwa Urusi hawaonyeshi ili tukubaliane na takwimu wanayoitoa?
Unadhani vita ni kuoneshana maiti tu siyo?

Kwenye medani za kivita kuna siri nyingi sio kila kitu uwekewe hadharani kama mapato na matumizi ya kijijini kwenu.

Urusi imekiri kupata hasara ya vifaa vya kijeshi kwenye mashambulizi yake ila anashindwa kuweka wazi idadi ya wanajeshi wake waliouawa na Ukraine.

Anasema tu "bado hatujatangaza vifo wala majeruhi kwa wanajeshi wetu" hadi hapo unapata picha kwamba kuna vifo na majeruhi kibao.

Kwa akili ya kawaida tu unadhani hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Urusi aliyeuawa kwenye vita hivi?
 
Kwahiyo mkuu unaamin hadi sasa warusi hawajauliwa wao ni robots? hakuna vita isiyo na madhara pande zote japo kwa sasa taarifa ni nyingi sana wewe amin unacho kiamini ila jua hata hao warusi unao waamini wapo walio marehemu kwa sasa.
Hoja yangu si kwamba Warusi hawafi! Wanakufa vizuri tu. Idadi ya Warusi waliyokufa iliyotangazwa na wao ni 30 na kitu. Tuseme wamepunguza namba. Hata tuseme hata 100 nitakubaliana nayo.

Ila Ukraine wanasema 3500, ndani ya siku 2 wameua idadi hiyo ya wanajeshi ya Warusi, huu ni uongo wa wazi kabisa! Hata Urusi ingepigana na Tanzania kwa siku 2 wasingeua idadi hiyo ya wanajeshi. Hata kama ukitumia drones idadi hiyo hauifikii.
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mkuu unaamin hadi sasa warusi hawajauliwa wao ni robots? hakuna vita isiyo na madhara pande zote japo kwa sasa taarifa ni nyingi sana wewe amin unacho kiamini ila jua hata hao warusi unao waamini wapo walio marehemu kwa sasa.
Nimeona mwanajeshi wa Russia anapigwa risasi juu ya gari akaanguka akamaliziwa chini aisee
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.
 
Yaani mnapambania kumvisha Sugu wigi na dera🤣🤣🤣
Nyie hatari sana

Mtaji wa mwanasiasa ni watu na working capital yake ni maneno yaani kauli zake

Kwa kauli kama hizi za kuwaambia baba zenu wavae madera vijana mnatakiwa kupelekwa darasa la siasa

Kujitoa ufahamu ni kipaji wakiita rare profession:

IMG_20220226_204241_388.jpg
 
Back
Top Bottom