Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mume wako ndiye angekuwa wa kwanza kuingia uvunguni mwa kitanda.
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania
Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka
Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana
View attachment 2132164
MUNGU Ibariki Tanzania