LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Soma comment ya post namba 2030. Kuna jawabu mujarrabu.
 
Jamii forums Ukraine🇺🇦 anachakazwa, unaweza ukadhani ndani masaa machache hakutakuwa na chochote kilichosalia. Ukienda Twitter Russia🇷🇺 kafeli ndege zake nyingi zimetunguliwa anajipanga kuja na plan But
😂😂😂
 
Kwahiyo mkuu unaamin hadi sasa warusi hawajauliwa wao ni robots? hakuna vita isiyo na madhara pande zote japo kwa sasa taarifa ni nyingi sana wewe amin unacho kiamini ila jua hata hao warusi unao waamini wapo walio marehemu kwa sasa.
Tena marehemu wengi tu maana Urusi inapata kigugumizi kutangaza majeruhi na vifo vya wanajeshi wake.

Wanakiri wameoata hasara ya vifaa vya kijeshi kutokana na mashambulizi sasa huoni kuna kitu wanakificha hao warusi.

Putin kakutana na upinzani mkali sana ndani ya Ukraine ambao haukutarajiwa ndo maana anapata wasiwasi zaidi. Alidhani wanajeshi wa Ukraine wangesalimu amri ama kumpindua Rais wao matokeao yake imekuwa kinyume.
 
Yah nimekupata vema mkuu.

3,500 ni idadi kubwa mno kwa vita ya siku mbili lakini pande zote lazima wanapoteza wanajeshi hata ingekuwa Urusi anapigana na Djibouti lazima wanajeshi wake wangepoteza maisha tu sembuse Ukraine.

Djibouti na urusi wapi na wapi mzee! Akiuliwa mrusi mmoja ujuwe jibuti wameshauliwa 200 mzee.
 
Walau wewe nakuelewa Mkuu,unacomment kitu kinamake sense.
 
Kuna kipi kinachukuonyesha kwamba alishinda Afghanistan.
Mkuu ndiyo nilimuuliza huyo alosema eti urusi hajawahi shindwa vita yoyote ndiyo nikamuuliza huko afghanistan alishindwa au alishinda maana ipo wazi alishindwa na nikamtajia vita nyingine mbili zaidi kwa uchache ambazo russia alishindwa.
 
Lazima uwe una update Uzi wako, usitulishe makombo
 
Yah nimekupata vema mkuu.

3,500 ni idadi kubwa mno kwa vita ya siku mbili lakini pande zote lazima wanapoteza wanajeshi hata ingekuwa Urusi anapigana na Djibouti lazima wanajeshi wake wangepoteza maisha tu sembuse Ukraine.
Ewaaa!

Nakubaliana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…