Ume-argue kitoto sana. Kama sio mtoto basi una akili za kitoto sana.
Nani alikwambia kuwa, ukiwa Super Power basi ukiingia vitani unashinda kwa dakika moja vita hiyo?
Hawachelewi kusema mauaji ya halaikiSAA 1 kubwa sana akitaja kuimaliza hata ndani ya dakika 10 anao huo uwezo,na wasije kulalalimika kuwa Russia anaua RAIA.
Mkiwachokoza sana hawaa tutaama kwenye uzi wetu.Wapange tuwaondoe hao baadhi waanze kuvishwa mawigi
Ha haaa mnachekesha washabiki wa urusi , kwamba hao ameokota Tu kitaa , so they are poor and inexperienced , katika jeshi ambalo linatuaminisha lipo imara kuliko US? ... Si walituambia ni full scale military invasion au walikuwa wanatania ?? Anyway kama wanabip Acha wenzao wawapigieSviatlana Tsikhanouskaya mwanaharakati wa Belarus anafanya mobilization afanye mapinduzi amuondoe Alexander Lukashenko aliyepitisha majeshi ya Urusi kwake kuingia Ukraine.
Kuna raia 50 wa Belarus wamejitolea kuipigania Ukraine wako frontline. Urusi inaonekana haijatumia wanajeshi wazoefu imeleta wengine ni drafted
Kwayo watu wabad kama kina UK na kina USA wake kushototu....Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] Viroba nomaa babuu...
Account ya Chancellor huko Twitter republicwewe mhh mkuu source ya habari yako please
Dah nimeona mkuu sasa Putin na aishi maneno yake na aishambulie Germany kama yeye mwanaume kweli. na France naye anamsaidia ukraine sasa Putin na aishambulie France basi. Babu ana mikwara yule.Account ya Chancellor huko Twitter republic
Hawezi thubutu mshambulia NATO member yeyote maana kwa sasa wako on high AlertDah nimeona mkuu sasa Putin na aishi maneno yake na aishambulie Germany kama yeye mwanaume kweli.
Russia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine wanapigana kama ambacho kila nchi ingepigana lkn wataangushwa tu pamoja na support yote wanayopewa.Na mwisho Russia anajaribu kuichukua Kiev bila mauaji mengi ya raia ya kawaida ambapo akiona kuna ugumu wa kukwepa hayo mauaji basi anaweza kuamua kufyeka wote.Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ila humu ndani, sijui kama umeelewa ulichotuma.
Porojo za wafia dini. Biblia tu ametuambia kuwa kuelekea siku za mwisho yatazuka na maradhi yasiyotibika lkn wewe bado tu huamini na badala yake eti unaamini propaganda. Poor you.Zote ni program za freemason. Lengo la covid ilikuwa ni kuongeza idadi ya watu kuzimu. Kuna idadi waliyoitaka imetimia.
Lengo la kutengeneza ukimwi kuzimu Ili kuwapeleka kuzimu vijana wengi sana yaani wengi wafe haraka wangali vijana kabla ya kufikia umri wa utu uzima.
Russia na kiwebsite chao cha RT.com ukisoma habari kwao mara mbili ukirudi mara ya tatu wananza kukuambia"We have registered suspicious traffic coming from your network. Using this page, we will be able to determine that you are not the robot. Wakti maBBC, Maaljazeera huko hawana hizi mambo kweli. Kwa kifupi mrusi alidhani myukreni mlaini kama pamba sasa kakutana na upinzani ambao hakuutarajia zile siku za mwanzo Putin alikuwa anabweka hatarii sasa hivi kidogo kafunga mdomo wake,Ha haaa mnachekesha washabiki wa urusi , kwamba hao ameokota Tu kitaa , so they are poor and inexperienced , katika jeshi ambalo linatuaminisha lipo imara kuliko US? ... Si walituambia ni full scale military invasion au walikuwa wanatania ?? Anyway kama wanabip Acha wenzao wawapigie
Kwa hiyo wewe umerepond kwenye nini kama hamna uzi🤣🤣🤣
Sure now Putin sisimiz kaingia kwenye korodani zake anapambana na hali yake.Hawezi thubutu mshambulia NATO member yeyote maana kwa sasa wako on high Alert
Hivi nyie mnavuta bange za wapi....?Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
Ila pro USA mnashangaza sana na mna unonko sana yaani vita ndo kwanza ina siku tatu ila mmesha muhukumu putin kwamba kashidwa?Watashinda kwa gharama kubwa ya vifaa, uhai wa askari wait na vikwazo vikali vya kiuchumi.
Huenda hii Vita ikawa mwanzo wa anguko la Putin kwenye siasa za Urusi.......ikionekana hii Vita inachukua muda mrefu na gharama kubwa huku vikwazo vya kiuchumi zikiilenga nchi huenda raia wa Urusi wakaingia mitaani kumpinga dictator.
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania
Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka
Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana
View attachment 2132164
MUNGU Ibariki Tanzania