LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ume-argue kitoto sana. Kama sio mtoto basi una akili za kitoto sana.

Nani alikwambia kuwa, ukiwa Super Power basi ukiingia vitani unashinda kwa dakika moja vita hiyo?
6ADF5F84-A088-472A-A4AF-FE39C39379DA.jpeg
06D253C0-F12D-4626-8A02-4C3645049517.jpeg
917A3FA4-C086-4440-811A-3A0265E7935B.jpeg
 
Sviatlana Tsikhanouskaya mwanaharakati wa Belarus anafanya mobilization afanye mapinduzi amuondoe Alexander Lukashenko aliyepitisha majeshi ya Urusi kwake kuingia Ukraine.
Kuna raia 50 wa Belarus wamejitolea kuipigania Ukraine wako frontline. Urusi inaonekana haijatumia wanajeshi wazoefu imeleta wengine ni drafted
Ha haaa mnachekesha washabiki wa urusi , kwamba hao ameokota Tu kitaa , so they are poor and inexperienced , katika jeshi ambalo linatuaminisha lipo imara kuliko US? ... Si walituambia ni full scale military invasion au walikuwa wanatania ?? Anyway kama wanabip Acha wenzao wawapigie
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Kwayo watu wabad kama kina UK na kina USA wake kushototu.
 
Zote ni program za freemason. Lengo la covid ilikuwa ni kuongeza idadi ya watu kuzimu. Kuna idadi waliyoitaka imetimia.
Lengo la kutengeneza ukimwi kuzimu Ili kuwapeleka kuzimu vijana wengi sana yaani wengi wafe haraka wangali vijana kabla ya kufikia umri wa utu uzima.
 
Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
Russia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine wanapigana kama ambacho kila nchi ingepigana lkn wataangushwa tu pamoja na support yote wanayopewa.Na mwisho Russia anajaribu kuichukua Kiev bila mauaji mengi ya raia ya kawaida ambapo akiona kuna ugumu wa kukwepa hayo mauaji basi anaweza kuamua kufyeka wote.
 
Zote ni program za freemason. Lengo la covid ilikuwa ni kuongeza idadi ya watu kuzimu. Kuna idadi waliyoitaka imetimia.
Lengo la kutengeneza ukimwi kuzimu Ili kuwapeleka kuzimu vijana wengi sana yaani wengi wafe haraka wangali vijana kabla ya kufikia umri wa utu uzima.
Porojo za wafia dini. Biblia tu ametuambia kuwa kuelekea siku za mwisho yatazuka na maradhi yasiyotibika lkn wewe bado tu huamini na badala yake eti unaamini propaganda. Poor you.
 
Ha haaa mnachekesha washabiki wa urusi , kwamba hao ameokota Tu kitaa , so they are poor and inexperienced , katika jeshi ambalo linatuaminisha lipo imara kuliko US? ... Si walituambia ni full scale military invasion au walikuwa wanatania ?? Anyway kama wanabip Acha wenzao wawapigie
Russia na kiwebsite chao cha RT.com ukisoma habari kwao mara mbili ukirudi mara ya tatu wananza kukuambia"We have registered suspicious traffic coming from your network. Using this page, we will be able to determine that you are not the robot. Wakti maBBC, Maaljazeera huko hawana hizi mambo kweli. Kwa kifupi mrusi alidhani myukreni mlaini kama pamba sasa kakutana na upinzani ambao hakuutarajia zile siku za mwanzo Putin alikuwa anabweka hatarii sasa hivi kidogo kafunga mdomo wake,
 
Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
Hivi nyie mnavuta bange za wapi....?

Marekani and the allies walitumia miezi mingapi Libya.? Ka nchi ka Africa... na Iraq je.??? Haya kimewakuta nini Syria.??

Na hapo haendagi pekeyake lazima aweke neno the allies..

Nyie subirini kichapo..
 
Watashinda kwa gharama kubwa ya vifaa, uhai wa askari wait na vikwazo vikali vya kiuchumi.

Huenda hii Vita ikawa mwanzo wa anguko la Putin kwenye siasa za Urusi.......ikionekana hii Vita inachukua muda mrefu na gharama kubwa huku vikwazo vya kiuchumi zikiilenga nchi huenda raia wa Urusi wakaingia mitaani kumpinga dictator.
Ila pro USA mnashangaza sana na mna unonko sana yaani vita ndo kwanza ina siku tatu ila mmesha muhukumu putin kwamba kashidwa?

Urusi ina haki ya kufanya chochote pale inapoona usalama wake una tishiwa kama marekani alivyo ivamia Iraq, Afghanistan na kuuwa mamilioni ya raia.

Kama Israel anavyo uwa wapalestina bila huruma kwa kisingizio cha kujinda.

Kwenye vita ni lazima ulipie gharama hizo ulizo zitaja na Putin analijua kabisa ya kwamba hajaenda vitani kwenda kucheza ngoma bali kaenda vitani kupambana na watu wenye mafunzo kama walivyo wanajeshi wake.

Kwenye vita ni lazima upoteze wapiganaji, vifaa,na pesa hata uwe una nguvu kiasi gani ,hata kama unaye pambana naye ni dhaifu kiasi gani.

Marekani aliivamia Iraq mpaka ana iteka Baghdad alikuwa amesha poteza maelfu ya wapiganaji na vifaa vingi vya kijeshi na amepoteza matrion ya $ lakini hakujali hilo alicho jali ni kile kilicho sababisha anavamia.

Alafu kingine ukijaribu kuangalia kiuhalisia bila ushabiki utagundua ya kwamba Urusi hatumii nguvu kubwa sana kwenye hivi vita bali anatumia nguvu za wastani hata mashambilizi ya anga sio makali sana, nadhani ana hofia mauaji ya raia yatakuwa makubwa.

Gharama ambayo angeilipa Urusi baada ya NATO kiweka base zake Ukraine ni zaidi ya mia ya atakaye zilipa kwenye vita na Ukraine.
Hata ungekuwa ww mkuu ungefanya alicho kifanya Putin.
 
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164


MUNGU Ibariki Tanzania


Hatimaye uzi wa Hilda Newton umehamia Ukraine na Russia
Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom