Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Shida huelew mlolongo wa uzalishaj hzo kitu hzo kampun ulzoztj znahtaj mashine maalum za kuandikia circuits za za hzo chip, hzo mashine ndio msingi wenyw na kwa size nlokutajia hakuna nch yeyote dunian zaid ya netherland inayotengneza hio ktu baada ya miaka km 20 ya research kw uv lithography, si marekan,china wala yeyote yule mwe tech ya kuzalisha hizo machine, saiz ya nanometer 10 kushuka huandk bila mashine ya mholanz. Intel wanaongoza kutengnza chip za pc dunian but wanahtja mashine ya mholanz kufny hvyo bla hvyo wanfunga kampuni, sasa we unasema russia wana tech analogy to uv lithography so huawei anapenda mwnyw kuteseka na restriction aliowekewa badala tu ya kuomba tech urusi
 
Hivyo lengo la special operation ni kuwafanya Ukraine food dependent ? Kazi kweli kweli.
 
Halafu sisi Warusi tukiwanyuka. Tunaambiwa tumeshambulia medical facilities 😄😄😄😄😄
 
Tatizo mzee unaandika tu pasipo kufuatilia nilichokuwekea. Ungekuwa mjanja ungepitia makampuni niliyoyaweka na kujua ABC.
NIMEKUWEKEA KAMPUNI HII
Nanomaker
 
Vile vile jifunze kuandika vizuri. Unaonekana uwezo wako wa kuandika ni mdogo. Jaribu kujifunza matumizi ya (.,':😉
 
❗️Putin signed a decree on a new procedure for paying for Russian gas with unfriendly countries in rubles

Western countries will have to open ruble accounts in Russian banks to pay for supplies from April 1. If buyers do not comply with the new payment terms, gas supply contracts will be stopped.

RUSSIA KABANA KENDE ZAO KISAWA SAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…