President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Movie za expendables zimekula bongo zao. Kweli USA wamefanikiwa kuua akili za vijana wengi kupitia kwenye propaganda za movie.Kuna matoto majinga sana Bora ubadiriashane na Gunia la mkaa utapikia ... yaani nilienda kwenye Uzi wake huo nikawasoma nilipofika tu pale wanaulizana kwani HYPERSONIC MISSILE ndio ikoje inatofauti Gani na missile zingine nkaona hili darasa sio langu ntawachanganya Hawa watoto.
Hahahaha...wahurumie wanalinda Ugali wao kutoka kwa hisani ya watu wa Marekani.Kuna matoto majinga sana Bora ubadiriashane na Gunia la mkaa utapikia ... yaani nilienda kwenye Uzi wake huo nikawasoma nilipofika tu pale wanaulizana kwani HYPERSONIC MISSILE ndio ikoje inatofauti Gani na missile zingine nkaona hili darasa sio langu ntawachanganya Hawa watoto.
Wachambuzi wa uchumi wanasema hiyo ni kama kumwaga gunia la sukari baharini!Biden kumwaga mapipa milioni moja ya mafuta (kutoka hifadhi ya taifa ya mafuta)kwenye soko kwa kipindi kijacho cha miezi 6. Katika kipindi hiki cha miezi 6 uzalishaji utaongezeka kufidia pengo la mafuta ya Vladimir Putin. West imejipanga kweli kweli. Vladimir atasubiri sana hostile nations kununua mafuta kwa rubles. Kapewa middle finger.
“Today I’m authorising the release of one million barrels per day for the next six months – over 180 million barrels,” Biden told reporters from the White House on Thursday afternoon.
“This is a wartime bridge to increase oil supply until production ramps up later this year. And it is by far the largest release from our national reserve in our history.”
Kukomesha kiburi cha Urusi ni hizo bomba kuvunjwaWakati umefika wa Ukraine kulipua mabomba ya mafuta na gesi yanaotoka urussi kuelekea EU. View attachment 2171323
Hanna kujilipua, Ukraine ndo amezichapa hizo facilities.Njia nyingine ya kujua kinachoendelea katika hii operation ya Urusi kwa Ukraine ni kupima majibu ya wafuasi wake kwa kuangalia aina ya matamshi wanayotoa wanapoielezea Urusi kwa wanaowakwaza.
Kuhusu Urusi kulipuliwa maoni yangu ni kuwa kuna watu hawataki hii vita iishe na hao watu si Urusi. Sidhani kama Urusi amefanya igizo la kujilipua.
A weaker Russia is good for the worldNjia nyingine ya kujua kinachoendelea katika hii operation ya Urusi kwa Ukraine ni kupima majibu ya wafuasi wake kwa kuangalia aina ya matamshi wanayotoa wanapoielezea Urusi kwa wanaowakwaza.
Kuhusu Urusi kulipuliwa maoni yangu ni kuwa kuna watu hawataki hii vita iishe na hao watu si Urusi. Sidhani kama Urusi amefanya igizo la kujilipua.
Soma,the details are important.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]....hili libarua lirefu kama reli ya kwenda kigoma ntalimalizia kesho nimesha lisoma robo ..........robo tatu ingine ntamalizia kesho ... wacha nilale ....
How,elaborate.We want a multi-polar World where the rule of law in politics and linternational trade is upheld.We also want a fair and Democratic World Order.A weaker Russia is good for the world
Kuvunjwa Bomba ni kupoteza muda na ujinga TU,Kukomesha kiburi cha Urusi ni hizo bomba kuvunjwa
Mzee mwenzangu wa "wazee wa mikeka" ... Hilo nimelisema zamani sanaaa kama NATO na EU ni viburi na wapo serious si walipue mabomba. Naona ndio mmeanza kuja nalo ... Lipueni Mzee mwenzangu ndio mtajua KWA NINI KUKU ANAKUNYWA MAJI LAKINI HAKOJOI.Kukomesha kiburi cha Urusi ni hizo bomba kuvunjwa
Mzeee umepotea jukwaaniMzee mwenzangu wa "wazee wa mikeka" ... Hilo nimelisema zamani sanaaa kama NATO na EU ni viburi na wapo serious si walipue mabomba. Naona ndio mmeanza kuja nalo ... Lipueni Mzee mwenzangu ndio mtajua KWA NINI KUKU ANAKUNYWA MAJI LAKINI HAKOJOI.View attachment 2171372