President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Saa nyingine muwe na aibu hizi risasi hata Tz tuna tengeneza Urusi ashindwe?Jeshi la Urusi limepungukiwa risasi Kwa sababu sehemu hutengenezwa Ukraine [emoji23]View attachment 2175031
Wote watakuja tu mmoja mmoja tu tuwajaalieni muda kwanza!!!Latvian gas company Latvijas Gāze announced that it is studying the possibility of paying for Russian gas in rubles - RIA Novosti.
Galip SV View attachment 2174961
Jeshi la Urusi limepungukiwa risasi Kwa sababu sehemu hutengenezwa Ukraine [emoji23]View attachment 2175031
Tayari Hungary, Slovakia, Serbia wamo. Watakuja hadi hao Lithuania wanaojifanya kauzu.Wote watakuja tu mmoja mmoja tu tuwajaalieni muda kwanza!!!
Wakati us anawalazimisia ulaya kumwekea vikwazo urusi, urusi anawafumbua macho wananchi wa ulaya jinsi viongozi wao wanavyowasababishia matatizoUS mjanja usikute hayo mafuta anayanunua baadae anaenda kuwauzia hao mabwege wake wa EU kwa bei kubwa haha naamesema wakulima wa US walime sana kaona wahindi walivyosema watalima sana ili waje wauze chakula kufuatia kilimo Ukraine kimesimama!