NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Ngoja nikusumbue katika kulijua hilo... Nenda ka Google au vyovyote vile utakavofanya utafute nchi ambazo hazina Rothchilds Central bank kwenye ardhi zao. Zipo kama tisa hivi. Kisha angalia katika hizo 9. Mwenye eneo kubwa Kijografia ndie mlengwa wa aliyekua anamzungumzia huyo.Jamaa gani hawataki kukaa kwa mstari wao....
Ok sawa nimesha kuelewa mkuuNgoja nikusumbue katika kulijua hilo... Nenda ka Google au vyovyote vile utakavofanya utafute nchi ambayo hazina Rothchilds Central bank kwenye ardhi zao. Zipo kama tisa hivi. Kisha angalia katika hizo 9. Mwenye eneo kubwa Kijografia ndie mlengwa wa aliyekua anamzungumzia huyo.
Kingine
Baada ya kuziona hizo nchi... Kisha uje uku na walue ile preliminary assumption kua kwanini dunia imekua ikiingia vita na hizi nchi... Kisha kwanini tu ni hizo hizo nchi ambazo wanahtaji kuuangusha utawala wa maeneo hayo.
Hii kazi najua imefanikishwa na huu mtamboRussian air defence systems shot down 6 Ukrainian drones.
Stay cool litle mouse .......an' shut your dumb mouth...[emoji635][emoji635][emoji123][emoji123]Mnafanya unyama wa ajabu hadi mnajistukia wenyewe na kuona aibu,shame on you Russia.Putin ni Hitler wa zama hizi.
Yaani Russia Imetutia aibu sana sasa walifuata nn kama wamepigqa wameshindwa kumtoa Comedian..Hii aibu sana
Una umri gani Ndugu....naona hata lugha ya malkia inakupiga chenga...Mnafanya unyama wa ajabu hadi mnajistukia wenyewe na kuona aibu,shame on you Russia.Putin ni Hitler wa zama hizi.
Umtoe comedian Ili iwe Nini?! Malengo au objectives za Russia ni tofauti....Yaani Russia Imetutia aibu sana sasa walifuata nn kama wamepigqa wameshindwa kumtoa Comedian..Hii aibu sana
Aleppo, Syria 2016
Bucha, Ukraine 2022
Suffering is one.
This would not have been Possible without Vladimir Putin, a heinous war criminal and murderer.
View attachment 2175158
Kabisa nisual lamuda tuuTayari Hungary, Slovakia, Serbia wamo. Watakuja hadi hao Lithuania wanaojifanya kauzu.
Azov wa Ukraine wameua raia wenginebmno wa Ukraine ambao ni warusi...tangu 2014 warusi wa Ukraine waliouawa na jeshi la Ukraine ni zaidi ya 14000Shame on you Russia,damu ya raia mliowauwa itawalilia hadi vizazi vyenu vya 4
POINT HIIWakati us anawalazimisia ulaya kumwekea vikwazo urusi, urusi anawafumbua macho wananchi wa ulaya jinsi viongozi wao wanavyowasababishia matatizo
US anazidi kupoteza ushawishi yaani Kenge yuleA motor rally in support of Russia was also held in Germany today.
Several hundred people took part in the action, local media write. A column with Russian flags drove through the streets of Berlin.
Earlier, a similar rally took place in Moscow, Serbs took part in it.
Hivi JF haina option ya ku upload video?View attachment 2175063View attachment 2175065
huo mtambo naona mjeshi wa ukraine hapo mwenye beji ya njano mkononi angalia vizuriHii kazi najua imefanikishwa na huu mtamboView attachment 2175199
kwi kwi kwi leo unajisikia vibaya Orc kushambulia ukraine kwaniAibu ya nini sasa kwani ulitaka iwe vipi.au unaona raha kiev ilivyokuwa inapigwa mabomu usiku kucha
RUSSIA kamatia hapa hapaPrices for fruits and vegetables in British stores have increased by a third, and vegetable oil has risen in price by one and a half times.
All the fault of anti-Russian sanctions, supply disruptions due to strikes in Spain, as well as rising fuel prices.
According to the Daily Mail, in the UK, sunflower oil stocks remain for several weeks (80% of world supplies come from Russia and Ukraine), because of this, all food manufacturers that use oil are urgently looking for an alternative.
In UK supermarkets, vegetable prices have skyrocketed, with shelves likely to be empty soon. According to Assosia analysts, there is already a shortage of fresh products from Spain in many stores.
Importers say even if truck drivers return to work on Monday, it will take ten days to get supply chains back on track.
Galip SV View attachment 2175074