Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?



Maiti anavuta sigara haha ila hawa jamaa wamezidi propaganda zao afu nyingi zinafeli
 
Kwa kuwa wewe unalipwa siunaona wote wanalipwa !!??
 
Pro NATO na Pro Russia hebu nipeni elimu. Hivi ni kwanini taifa la Poland linaonekana kuwa na Bifu Kali sana kwa Russia? Ukifuatilia wanachama wengine wa NATO including USA japo wanabifu na Russia lakini sio la kiwango cha Poland. Hata mapendekezo mengi ya Sanctions yanatolewa na Poland. Na hii yakuonyesha bifu kwa Russia ameianza miaka mingi sana kabla hata ya huu Mgogoro wa Ukraine.

Pamoja na kwamba suala la wakimbizi linamsumbua ila nadhani kuna zaidi ya hapo.

Kama itawapendeza basi naomba majibu yasiyo ya kishabiki
 
Wadau nimeona mkuu wa mahakama ya uhalifu wa kivita ametoa hati ya kumkamata putin kwa kutuhumiwa uhalifu wa kivita katika mji wa bucha. je nani atamkamata putin
 
Washawahi kuivamia poland pia miaka ya zamani
 
About the fake with the killing of civilians in Bucha. The main thing from Lavrov's statement at a meeting with UN Under-Secretary-General for Humanitarian Affairs Griffiths:

- in Bucha, after the withdrawal of Russian troops from the city, a staging was staged, which is dispersed through all channels and social networks by Ukrainian representatives and their Western patrons;

- the Russian Armed Forces have completely withdrawn from the settlement. On March 30, March 31, the mayor of the city solemnly said that everything was in order with him, and two days later the production was filmed;

- Russia demanded an urgent meeting of the UN Security Council, since such provocations pose a direct threat to international security;

- The chairman of the Security Council, Great Britain, could not confirm the possibility of holding such a meeting, but Moscow will continue to demand that the meeting take place.
Galip SV
 
Sergei Lavrov, at a meeting with the UN Deputy Secretary General, said that a staging was staged in Bucha when Russian servicemen left the city.

According to the head of the Russian Foreign Ministry, they are trying to use this provocation for anti-Russian purposes.

Moscow sees a direct threat to international security in such provocations, the minister stressed.
 
Senator Olga Kovitidi commented on the words of Macron, who advocated the imposition of sanctions due to the situation in Bucha. If they are accepted, they will limit the supply of Russian oil and coal.

“An attempt to cover up domestic issues with a patched blanket of Ukrainian problems will only bring a momentary rise in Macron’s rating, but will not be able to solve the global problems of the French,” Kovitidi said.

She recalled that Russia had already requested a meeting of the UN Security Council in connection with the "blatant provocation of Ukrainian radicals."

Today, DPR First Deputy Minister of Information Daniil Bezsonov @neoficialniybezsonov explained in detail to RT why the footage from Bucha with the "corpses" of civilians is fake.
Galip SV
 
Wadau nimeona mkuu wa mahakama ya uhalifu wa kivita ametoa hati ya kumkamata putin kwa kutuhumiwa uhalifu wa kivita katika mji wa bucha. je nani atamkamata putin
Magenerali wa Russia waliomchoka
 
Peskov, commenting on Kyiv's provocation in Bucha, stressed that the facts and the calendar sequence do not speak in favor of the reliability of the statements of the Ukrainian side.

Video materials distributed by Ukraine cannot be trusted, specialists of the Russian Ministry of Defense have identified signs of video forgery and fakes, he added.
Galip SV
 
Russia, Poland, Ukraine, Beralus na watu wengine wa Ulaya mashariki ni Wazungu wa Kabila moja (Slavs) Historically mabifu yao yamekuwepo miaka mingi sana.. karne ya 16 na 17 Poland na Lithuania zilikuwa na Muungano wao Unaitwa Poland-Lithuania Commonwealth ilikuwa ni moja ya kati ya Taifa kubwa Ulaya, hii empire ilianguka kutoka na Uvamizi wa Russian Empire na Prussia Empire.

Russia ya Sasa imetokana na Moscow Duchy iliyokuwa Kievan Rus (Dola ya Mwanzo ya Warusi), Hawa Moscow waliamua kuwa na imperialistic approach kwa majirani zao wote (they normally feel insecure), Russia unayoina imewahi kupigana karibu na kila Jirani yake (China ikiwepo)
So kwa tabia za aina Hii Warusia walianza kuwasumbua majirani zake kama Lithuania ndio wakaona bora waunde muungano na Poland, na kumeza baadhi ya maeneo ya majirani zao.

Miaka ya nyumba tofauti na sasa, labda Russia pekee ndio wamepakia na hii tabia, wazungu walikuwa wanaamini kuwa Homogenous group of people should live on the same territory, Mfano Germanic people should live together, Slavs the same (ndio maana unaona Russia hataki watu wajiunge na NATO au EU)
 
Huyo nae anajiona ni GT
Hii JF inazidi kupoteza maana kama hawa ndio ma GT buure kabisaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…