ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Yani unakaa kigogo mwisho huko!! unaongea utafikiri upo uwanja wa vita! wabongo banaRUSSIA KAPIGWA VIBAYA MNO KUFIKIA BADAE KUKIKUCHA ANA SURRENDER π
Bila kuwasahau UN walioshindwa kuusimamia usalama wa dunia wamemuachia USA anafanya atakavyo.ilikuwa haiepukiki, hata asingeenda vitani, kuna siku angekuja kupigana na NATO, sasa bora nini, apigane sasaivi ammalize kabisa ukrain mengine yatajipa baadaye akishamaliza kazi, au asubiri nato waingie chumbani kupitia ukrain aje apambane nao wammalize kabisa? ilikuwa haina jinsi. hadi sasa ameshafanya pakubwa sana dhidi ya ukrain. kilichobaki ni sasa kuangalia namna atakavyofufua uchumi, na lazima atakuwa alijipanga akitegemea haya yatatokea. europrean union ni toothless, hata wafanyeje, ni wajinga tu.
halafu hapa duniani ukiwa na pesa, utatesa sana masikini. kuna watu nimewasikia wanasema jamaa atashitakiwa ICC, hawajui kwamba RUSSIA na USA sio member wa ICC pamoja na kwamba wanashinikiza baadhi ya marais hasa walioko afrika kushitakiwa kule, marekani alishapiga mkwara mtu yeyote kukamata mmarekani kupeleka icc, russia pia huwezi kumkamata kwasababu atakupiga. masikini ndio wanabaki kupelekwa ICC. na pia, huwezi kumpeleka putin ICC kwa kutumia security council kwasababu russia ana veto pale, na sina uhakika kama ukrain ni signatory wa icc.Bila kuwasahau UN walioshindwa kuusimamia usalama wa dunia wamemuachia USA anafanya atakavyo.
Kwasasa kila mtu anaropoka kumtuhumu Rusia lakini wakati USA anazipiga Iraq,Libya,Syria,hakuna liyejitokeza kulaumu hatua za USA.
Hatua zianzochukulia na jamii ya kimataifa dhidi ya Rusia ni kujipendekeza tu kwa USA lakini hawana dhamira ya kweli mioyoni.
Binafsi naiombea Rusia ishinde hii vita with flying colour ili USA ajue kuwa ana mpinzani wanaeweza kwenda naye sambamba pindi akizingua tofauti na hawa waopo sasa.
#fear the bear
Vya kutosha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Vitafunwa vipo?
Yamebaki masaa Machache Russia kukimbia, alafu mkuu Mbona kama unaumia Russia kushindwa?π€£Yani unakaa kigogo mwisho huko!! unaongea utafikiri upo uwanja wa vita! wabongo bana
Lakini tuliaminishwa hapa na pro Russia kuwa vita itakuwa si chini ya siku 3,leo wewe unaleta tena kabla ya Pasaka,kumbe basi vita si rahisi kwa Putin kama tulivyotaka kudanganywa hapa na wafuasi wa PutinWenye akili ndogo ndiyo wanao amini kuwa Ukraine itaishinda urusi, hata CIA wanaamini kabla ya pasaka ukraine ita dondokea pua
Anapigana vita ya kawaida, ila vita alali Ukraine ni saa moja tu haitamaniki, wanapiga pale kwenye majibizanoLakini tuliaminishwa hapa na pro Russia kuwa vita itakuwa si chini ya siku 3,leo wewe unaleta tena kabla ya Pasaka,kumbe basi vita si rahisi kwa Putin kama tulivyotaka kudanganywa hapa na wafuasi wa Putin
niswala lamuda tu MKUU acha wapige pige kelele tuuuHuko kiev hali si shwari... Kuna group la Ukraine wanalalama kwamba jamaa Mrusi anatupa vitu vizito
Ukisikia porojo ndiyo hizi sasaNdani ya masaa 48 Kiev itakombolewa na warusi na huyo rais comedian atatimua mbio za mwaka!
yule rais wao comedian sitaki hata kumwona, akianza kuongea tu nabadilisha channel, kwasababu naona anawatia raia wake hatarini na matatani bila sababu za msingi, na anaamini anafanya kitu. US wanaojua wamemshauri atoroke nchi, yeye anabaki na atakatwa kichwa na nchi atachukua mtu mwingine.Huyu anayeitwa commedian na yeye kwa kweli amejitahidi kuhold on. Saluti sana kwake.
Yaani Russia na Eukrain ulitegemea baada ya vita Eukraine ndo awe na afadhali? Russia hatakiwi kujisifia kampiga Eukraine. Ni nchi ndogo kwa uwezo kumlinganisha. Mpaka sasa yeye kushindwa kuimaliza hii vita wa kupewa sifa ni Eukraine.unasahau kwamba ukrain imekuwa trained na magharibi tangu 2014, walisema hivyo jana, na wamagaribi imewauma sana kuona russia imeingia moja kwa moja hadi chumbani bila upinzani. kinachotokea sasaivi russia anapigania chumbani ila kwenye nyumba ya ukrain ameshafika, kibaya ni kwamba, hata wakiacha vita leo, aliyeumia ni ukrain, amebaki magofu, na atahitaji msaada wa magharibi kuanza kuijenga tena nchi yake. and that will take time. just try to imagine, Russia ameanza kwanza kushambulia vituo vyote vya kijeshi, kateka hadi kituo cha nyuklia, atakiharibu na akiondoka atakuwa na uhakika kuwa ukrain haitakuwa na uwezo tena kuimarisha nukes, na kwasababu atakuwa amebutuliwa hana nguvu, itakuwa rahisi kurudi tena siku nyingine akiona ameanza kusimama.
Pole kwa anavyokukera ila kwa kweli hata atakapouwawa atakuwa amefia kile alichokuwa anakipigania. Hawezi kumshinda Puttin vitani ila ni jasiri.yule rais wao comedian sitaki hata kumwona, akianza kuongea tu nabadilisha channel, kwasababu naona anawatia raia wake hatarini na matatani bila sababu za msingi, na anaamini anafanya kitu. US wanaojua wamemshauri atoroke nchi, yeye anabaki na atakatwa kichwa na nchi atachukua mtu mwingine.
Ukrain sio nchi ndogo, huwezi kulinganisha na US vs Iraq ambao walitumia siku 21 kuwadondosha. Ukrain ni nchi ambayo imekuwa trained muda mrefu na NATO, wanao uwezo wenyewe kuunda ndege za kivita na wanauza hata nje, wanaunda vifaru na wanauza nje, pia wamesaidiwa sana kijeshi kwa silaha na nchi z amagharibi. ndio maana urusi alichofanya cha kwanza ni kushambulia vituo vya jeshi na maghala ya silaha etc, akawapararaizi, ndio maana kilichobaki kwao wanaomba silaha toka west ili waanze kupigana mtaani. na kupigana mtaani ni hasara kwao kwasababu raia wengi wamekimbia nchi na wataendelea kukimbia nchi, watabaki wanajeshi wanaojjificha kwenye majengo, na kwa sheria za kivita, unatakiwa kupiga panapotokea shambulizi, kama ni kwenye majengo urusi atatondosha yote hayo. na kwenye uwanje/nje ya mitaa hawawezi kwenda kwasababu urusi atawadungua wote kwa ndege na helcopter. wanachofanya ni kuidondosha nchi yao wenyewe kwa maslahi ya wamagharibi, huu ndio ukweli mchungu. mimi ni pro-magharibi lakini katika hili najua kabisa kwamba ukrain are bing used kama condom tu kwa maslahi ya magharibi na atakayeumia ni ukrain, sio russia wala magharibi. russia hata akiumia itakuwa sio sawa na ambavyo angekuja kuumia siku NATO wangeweka kambi ukrain, alikuwa hana jinsi ila kufanya alichofanya. penye ukweli tuseme ukweli.Yaani Russia na Eukrain ulitegemea baada ya vita Eukraine ndo awe na afadhali? Russia hatakiwi kujisifia kampiga Eukraine. Ni nchi ndogo kwa uwezo kumlinganisha. Mpaka sasa yeye kushindwa kuimaliza hii vita wa kupewa sifa ni Eukraine.
jasiri huwa anatakiwa kutumia akili. hakuna faida yeyote kusifiwa kuwa ni jasiri wakati hautumii akili. na unasababisha collateral damage to your own country ambayo umeijenga kwa muda mrefu. hebu jaribu kufikiria mfano Tz tulivyoijenga kwa miaka mingi kwa kodi zetu hivi, halafu anatokea rais mmoja anataka kututia kwenye hasara ambayo ingeepukika ili asifiwe kwamba aliipigania nchi, ikisambaratishwa tuanze tena kuijenga upya. hiyo akili au matope? tena kwa maslahi ya wamagharibi sio ya watu wako.Pole kwa anavyokukera ila kwa kweli hata atakapouwawa atakuwa amefia kile alichokuwa anakipigania. Hawezi kumshinda Puttin vitani ila ni jasiri.