Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imegeuka vita kumbe !???.
Si tulikubaliana ni operation!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unadhani basi wanakumbuka hata walichokisema masaa kadhaa yaliyopita?Wamevurugwa kama Godfather wao aliyepo Kremlin
 
Mkuu wala usihangaike na hawa, wameshavurugwa vibaya sana,wamebaki kuruka ruka kama ngendere,hawajui washike lipi waache lipi
 
Huyo huyo hapa jamvini alikuwa anasema hii ni special operation tu,sasa hivi keshapindua maneno kuwa ni vita kamili,kakumbushwa hapo juu na f19 sina uhakika hata kama ataweza kumjibu[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787]
Duh!
Naona sasa umepoteza chaneli,....zote zinaonyesha chengachenga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Siyo yeye tu,wote Pro Russia hapa wanahitaji therapy ili akili ziwakae sawa. Waangalie tu wanavyo flood macomment marefu halafu ni blah blah tup,inafika mahali inabidi umute baadhi ya members ili inirahisishie kuscroll walau kupata comment zinazoeleweka.Putin kawasababishia depression [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kinachotokea Ukraine ni uhalisia ndugu,hisia zitafanya usione ukweli. Hii ni operation ambayo lazima iwe na matokeo, huenda usiyapende.
Na kinyume chake ni true pia,jiandae kwa matokeo ambayo yatakudissapoint pia
 
Tsh hivi malengo yetu pale Kyiv yameshindikana kabisa kutimia,au tusubirie baada ya Pasaka pengine kitaeleweka [emoji846]
Pale naona imeshindikana kwa sasa. Ngoja tuone mambo ya Rubble nayo yataisha vipi.
 
Pale naona imeshindikana kwa sasa. Ngoja tuone mambo ya Rubble nayo yataisha vipi.
Huko kwenye vita ya Ruble ya JF anaweza kushinda,lakini kwenye uhalisia ni Putin na Serikali yake wanajua dhahama iliyoko mbele yao kiuchumi.Naona misafara ya silaha inaingia tu tena bila kificho,sioni mtu akitoa fundisho kwa watakaoisaidia Ukraine tena
 
Reactions: Tsh

Umoja wa kina mama ungekua ushaweka vikao kama vyote
 

Kama hypersonic tu inamshinda unategemea nini?
 
Usiwalaumu sana, unakuta mtu ameipenda sana nchi yake isiyomtambua kama yeye ni raia na ngozi yake inamsaliti.
 
Aliye andika utawala wa west alikuwa wapi wakati huo? Wakati wewe unaiona kenya ipo kaskaziini wakenya wanaiona tz kusini
 
Walikuwa wanakamsemo kao No Rubble no Gas 🀣🀣🀣🀣. Hii kauli sijaiona tena
 
Atakuwa katoka kwa jamii inayomuona mwanamke siyo kitu akiwemo na Mama yake pia
kuna member humu wananilaumu kuwa et natumia lugha chafu .
But kejeri za proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί kwa akina mama wanajifanya hawazioni kabisa . tena unakuta jamaa anatukana wamama anaishia kupewa likes kibao humu . lakini akirudishiwa kejeri utashangaa waliompa likes mwanzoni wanakuzonga mara ooooh tumia lugha nzuri .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Waanzirishi wa lugha chafu na matusi humu ni proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…