Na msomi mwenyewe ni msomi basi,Mkuu hawa Pro Russia sasa hivi watakuja kutupostia hapa CV zao kabisa just to prove a point.Zelensiky si wa mchezo mchezokwanza kusoma kitu gani ? Wasikubabaishe hao .
Wasomi wangapi humu Tanzania tumewashuhudia wakitudanganya mchana kweupe? .Mtu kuwa muongo haihitaji kusoma sana .
Atakuwa haamini kinachoendelea Ukraine,kaamua kuwa anapita kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu Jamaa yuko wapi...
Leo haya mavifaru yote yamekuwa majivu
Yeye ndio mwenye mdomo mchafu kama nn na ndio maana na mm nimeamuwa niende naye hivyo hivyo.Mkuu una tatizo la matumizi ya R na L?
hebu nawe fanyia kazi hilo swala.
pia kama kweli una hoja, jitahidi kujiepusha na lugha chafu.
Russia ana sepa Kwa kasi kimbunga huko na ant ship missile zana wasili huko.Tuendelee kubishana, kasi imepungua sana wakuu.
wehu hao proπ·πΊπ·πΊ.Na msomi mwenyewe ni msomi basi,Mkuu hawa Pro Russia sasa hivi watakuja kutupostia hapa CV zao kabisa just to prove a point.Zelensiky si wa mchezo mchezo
Uku ulizwa maswali yanayo kubana huwe unayajibu sio kukaa kimia.Kaka ukiingia hapa, huchagui nani anasoma wala nani anajibu. Umeshawahi kusikia? Bado? Basi darsa ya bure, karibu!!
Maskini Putin, sijui tangi miezi (miaka?) mingapi hajatembea tena kati ya raia zake. Hofu ya korona na upinzani inambana ndani kwenye meza ndefu, kilomita mbili umbali na mtu anayetaka kuongea naye . . . .Haya sasa warusi wangu wa bongo- kyiv salama salimini atakaye aje na marafiki wake.
anapita πΆπΆπΆπΆ kama anaaga maiti.ππππAtakuwa haamini kinachoendelea Ukraine,kaamua kuwa anapita kimya kimya[emoji1787][emoji1787]
Putin siyo mzima- huyu amediriki kutishia kuangamiza dunia kwa nuklia.Maskini Putin, sijui tangi miezi (miaka?) mingapi hajatembea tena kati ya raia zake. Hofu ya korona na upinzani inambana ndani kwenye meza ndefu, kilomita mbili umbali na mtu anayetaka kuongea naye . . . .
Kaka kama nimekuuudhi kwa kutoona swali lako - basi napiga magoti na kuomba rehema zako. Ila siishi humu, naingia, natoka, wakati mwingine napoteza muda mwingi mno, wakati mwingine sipo ... Nikirudi baada ya muda naweza kuwa mvivu kusoma yoooote, au namjibu mmoja nikimsahau mwingine. Maisha jinsi yalivyo.Uku ulizwa maswali yanayo kubana huwe unayajibu sio kukaa kimia.
Ina kera sana mtu ana reply coment yako kwa kuchokoza hoja fulani ukilimuuliza maswali juu ya hoja aliye ileta mwenyewe anakimbia kujibu alafu ana subiri tena ucoment aje kureply tena.
Ndio maana nimekwambia kama una jiona huna uwezo wa kujibu maswali ili kutetea hoja zako usiwe unazileta.