Russia anachungulia hayo mapito ya silaha na magodown anayapa hypersonic guided missileHakuna cha kumzuia russia hapo kombora zitapita kama kawaida. Silaha nyingi sana zimetumwa ukraine mrejesho wake ni upi? Mbona comedy wenu kila siku analia yeye tu mara sina silaha, mara hichi mpaka sasa kapewa silaha nyingi sana zinakwenda wapi?
Mkuu hunaga akili?Uyo Putin unayemwita kichaa hata uchukue familia yenu, ukoo wenu wote na waliokufa bado hamfikii hata theluthi ya akili za Putin.
Да пошла ты.
Mkuu hunaga akili?
Ningependa sana kukubali lakini kwa bahati mbaya kuna mifano kwamba inawezakana. Mataifa ya Maindio yalivamiwa na Marekani, na mengi hayapo tena, mengine kwa mabaki madogo tu na kivutio kwa watalii... Vilevile Urusi. Sehemu kubwa ya eneo la Urusi ni ardhi ya mataifa na makabila mengine waliovamiwa na kutawaliwa na Urusi hadi kupotea. Kuna nini kilichobaki na Tartari waliotawala sehemu kubwa zinazoonyeshwa sasa kuwa Urusi?Hakuna muujiza a Russia kuichukua Ukraine. Mwendawazimu pekee anaweza kufikiria Russia au nchi yoyote ile inaweza kuitwaa nchi nyingine. Nchi moja inaweza kutwaa sehemu ya ardhi ya nchi nyingune lakini siyo kulitwaa Taifa.
We ndo huna akili kabisa pro ukraine mna mtindio ww ubongo shenziMkuu hunaga akili?
Jifunze kuandika dada kabla hatujaanza kujadili hoja.We ndo huna akili kabisa pro ukraine mna mtindio ww ubongo shenzi
Mwambie achukue taifa lake zima hawatomfikia kamweUyo Putin unayemwita kichaa hata uchukue familia yenu, ukoo wenu wote na waliokufa bado hamfikii hata theluthi ya akili za Putin.
Да пошла ты.
Vikwazo anaekewa RUSSIA kuumia anaumia mwengine ama kweliSanctions against Russia work in Lithuania.
The Lithuanian plant for the production of phosphate fertilizers Lifosa completely stopped work. Temporary conservation of equipment has begun, the general director of the enterprise said on the air of LRT radio.
There were problems with the supply of raw materials from Russia and Belarus.
About 1 thousand Lithuanians are employed at the enterprise. At the end of 2020, Lifosa's revenues amounted to €315.2 million.
The plant supplied 98% of its fertilizers to European countries.
The CEO expressed hope that Lifosa would solve the issues of providing raw materials without supplies from Russia and Belarus and in May resume work at least at a minimum capacity.