Nyinyi si mlisema hapa ndani ya masaa 24 vita inakwisha,kiko wapi sasa hivi. Mlidhani Ukraine ni dhaifu kiasi hicho,endeleeni kuyapindua maneno ndicho mlichobakiza sasa hivihakuna excuse MKUU shida ni KIEV nanisuala la muda tuuuu
Porojo hizi tushazizoea leo siku ya nne,hakuna jipya.Retreat za Ukraine huzioni? Saizi wote wamesogezwa kwenye kibangara kimoja kama mngejua kamji hako kanapigiwa final decision msingekuwa mnajitutumua hapa. Kyiev is circled by Russia forces while uncertainty of exploitation wandering in Ukrainian's mind. Mashaka yamejaa hadi kwenye chupi,matumbo tanasokota,msongo wa mawazo ya kifo yametawala,watoto wameliaaaaaaa hadi ndefu za mchozi zimejitengeneza. Mmeniamsha sasa yaani ukraine ana banabana mzigo? Subirini sasa this is a revenge on behalf of american people and his dogs who barking days and nights Mhaza faka
wewe ndio unapindua maneno nakama utaona koment yangu nimetaja muda wakuitwaa KIEV unitag usisahau na acc no yakoNyinyi si mlisema hapa ndani ya masaa 24 vita inakwisha,kiko wapi sasa hivi. Mlidhani Ukraine ni dhaifu kiasi hicho,endeleeni kuyapindua maneno ndicho mlichobakiza sasa hivi
Ameuliwa tayari na Media zenu zinaficha ficha Ila tayari yupo kuzimu
kadri siku zinavyoenda ndivyo urusi anasonga hivyo. Ni bora msimamishe mda sasa na suala la hata weza kuivamia limeisha bado la muda tu sasa kwenu,endeleeni kuhesabu dakika cc tunahesabu miji.Porojo hizi tushazizoea leo siku ya nne,hakuna jipya.
Pro russia wengi ni masela wa vijiweni hawafanyi analysis wao kulipuka na kudemka ndio wanajua, Ukraine kampa match kwelikweli sio mchezo hajapata air supremacy hata infantry regiments zake zinachakazwa zingine pia Ukraine anatumia propaganda machine kuboost morale wa wananchi wake kulinda nchi yaoWarusi wa kwa Mtogole wana mikwara kuliko uhalisia wenyewe.
Ni sawa!Haikuwa sahihi kuingia mpaka Uganda ili tumpindue.
Hahahahahaha mbavu zangu jamani hapa US waliingia cha kike bora wangebaki na trumpHuyu Mzee ameshajizeekea akae nyumbani acheze na wajukuu.
Naona umeamua kuwa Mr.Bean 😀Bondia na bunduki wapi na wapi? Wewe waache waangamie kwa kukosa maarifa. Badala ya kwenda Russia au China,au North Korea kuliko na amani na free of stress yy anabaki ukraine ili tumuonee huruma. Tutampiga na yeyote atakayewashwa
Hicho ki imf hicho tutakifutulia huko na bomu moja tu kwa kigezo cha rafiki ya adui yako ni adui yakoIMF imesema itaisaidia ukraine kifedha
Russian alikuwa optimistic kuwa anaweza kumaliza mchezo mapema na ndio maana alionya Ukrainian army silaha chini au akutane na kibano pia alitishia mabeberu kuwa ataingiliani ugomvi atajibiwa on the best. Under this section putini ali underestimate uwezo Ukrainian kujilinda unfortunately jeshi lake linapewa match kwelikweli, regarding Ukraine anatumia propaganda kama ghost pilot kuongeza morale wa wananchi kupigania nchi yao. Kama unafatilia kwa kalibu Russia anaenda kuwa looser kama yaliyomtokea afighanistanwewe ndio ulitegemea haya ila sio RUSSIA nakama ulifatilia hotuba ya PUT IN kabla yakuvamia UKRAINE alisema wapo na Immune juu ya vikwazo kwamba alitegema vikwazo vitakua vyakutosha ila sio kuingia vitani wakampiga
sasa wewe na PUT IN nani hakutegemea hio retaliate?
Anachokiwaza kichwani kwake ndicho anachokiandika hapa.kama midia zinaficha ww umeipata wap?
au wewe ndo umemuua?
We jamaa umeamua kwa makusudi kabisa kuwa mchekeshaji siyo 😂Hicho ki imf hicho tutakifutulia huko na bomu moja tu kwa kigezo cha rafiki ya adui yako ni adui yako
Zanzibar mbona wanamuliwa ushajiuliza kwannn?yaan wewe unabariki taifa lingine kulipangia taifa lililo huru kipi cha kufanya na kipi cha kutokufanya,
mfano leo wewe nini raisi wa tanzania
akatokea jiran yetu yeyoto ambae ana nguvu kukushinda,
akaja na masharti yake kuwa
anataka wanaume wawe mashoga, je wewe kama rais utakubaliana nae kwa sababu huyu jiran yako uwezo wa kukupga anao,
au utaamua kufa kiume,
Kuna watu wanachekesha sana mkuu. Urusi akiamua kutumia silaha zake za mass destructions sio tu ataipiga, bali ataipoteza kabisa Ukraine kufumba na kufumbua. Putin hataki tu kuua raia na kwenda kinyume na sheria za vita, ndio maana zoezi linachukua muda kidogo, ila Urusi kufanikiwa kupo pale pale, ni suala tu la muda. Hamna vikwazo ambavyo vitawekwa Putin hakujua kwamba vitawekwa, hilo halimtishi. Vikwazo vinazidi kuongezeka, ila mwamba hana habari, ndio kwanza anazidi kuvuka border kupeleka vifaruHivi una akili sawasawa?? Unataka Urusi atumie ATOMIC pale UKRAINE?? Wewe kwa akili yako MAJESHI YA URUSI YAPO WAPI? AU KWA AKILI ZAKO NCHI KUPIGWA NI KUPIGA MJI MKUU TU??
Huyu ndiyo anaiongoza Dunia yote yani POTUS,unapata wapi ujasili wa kumwambia akalee wajukuu wakati ndiyo anaamua wewe uishi vipiHuyu Mzee ameshajizeekea akae nyumbani acheze na wajukuu.
Subiri vijana wa PUT IN watakuja kukujibuHivi Russia bado hawajachukua serikali?
Sasa akitumia hizo silaha yeye atabaki salama? Au unadhani hizo silaha zitaimaliza Ukraine peke yake bila kuleta madhara makubwa kwake.Kuna watu wanachekesha sana mkuu. Urusi akiamua kutumia silaha zake za mass destructions sio tu ataipiga, bali ataipoteza kabisa Ukraine kufumba na kufumbua. Putin hataki tu kuua raia na kwenda kinyume na sheria za vita, ndio maana zoezi linachukua muda kidogo, ila Urusi kufanikiwa kupo pale pale, ni suala tu la muda. Hamna vikwazo ambavyo vitawekwa Putin hakujua kwamba vitawekwa, hilo halimtishi. Vikwazo vinazidi kuongezeka, ila mwamba hana habari, ndio kwanza anazidi kuvuka border kupeleka vifaru
Sent using Jamii Forums mobile app