Kuna watu wanachekesha sana mkuu. Urusi akiamua kutumia silaha zake za mass destructions sio tu ataipiga, bali ataipoteza kabisa Ukraine kufumba na kufumbua. Putin hataki tu kuua raia na kwenda kinyume na sheria za vita, ndio maana zoezi linachukua muda kidogo, ila Urusi kufanikiwa kupo pale pale, ni suala tu la muda. Hamna vikwazo ambavyo vitawekwa Putin hakujua kwamba vitawekwa, hilo halimtishi. Vikwazo vinazidi kuongezeka, ila mwamba hana habari, ndio kwanza anazidi kuvuka border kupeleka vifaru
Sent using
Jamii Forums mobile app