Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Your browser is not able to display this video.

Ukrainian troops near Kharkov handed over completely new tanks with full ammunition to the Russian military.

This is reported by the Russian Ministry of Defense.

This is not the first time this has happened. Voenkor VGTRK Yevgeny Poddubny published a video of brand new tanks left by the Armed Forces of Ukraine at the end of March.
 
Hiyo Option ya pili kuwa atajenga Kambi ya Kijeshi Cuba kiuhalisia haiwezejani tena. Cuba ya sasa sio ile ya zamani ya Fidel Castro ambaye alikuwa Mshirika Kindakindaki wa Urusi ile(USSR). Kwasasa Cuba imeshakuwa na Uhusiano mzuri tu na USA .
Cuba haiwezi kamwe kua na uhusiano mzuri na taifa kama marekani wanawajua vizuri sana. Sio hivyo tu, russia ana nguvu ya ushawishi pale Venezuela anaweza kuweka makombora yake pia. Kumnyamazisha US kunawezekana hasa Russia atapoona anabanwa sana.
 
Tafadhali fanya homework . Kwanza Finland wako EU tayari. Pili nani awazuie kujiunga na Nato? Finland walipigana marambili na Urusi hawaogopi. Lugha ya dakika 10 kihusu Urusi SI hekima baada kuona tulichiona.
 
We had orders to shoot to kill at any moving person, whether it was peaceful or not.”

Employees of the National Guard of Ukraine who surrendered told how the leadership ordered the execution of civilians in Rubizhne:

“At some point, people were brought there, there were both women and men ... The people who were brought were with white bandages, they were residents of Rubizhne. They put everyone in front of us, we were ordered to shoot them all.

Galip SV
 
Aibu kwa west.
Hii ni dalali kwamba walishindwa kwa Kila kitu dhidi ya Russia ,
Sasa wakaanza kutumia uongo.
Ukiona timu inaanz kucheza faulo ujue imezidiwa.
Kiuhalisia timu inayofanyaga vizuri hua hainaga sbabu ya kucheza faulo.
Mtu umeshinda faulo za Nini?
 
An energy embargo against Russia could completely destroy the German economy.

This was stated by the head of the German concern BASF Martin Brudermüller.

According to the businessman, in the event of a complete rejection of Russian gas, the "wheels of the chemical industry" in Germany will stop, Frankfurter Allgemeine writes.

Brudermüller noted that supporters of the gas embargo have no idea how the shutdown of chemical production and the absence of varnishes, plastics, foams, fertilizers and medicines will affect the economy.
@Galip
 
The Russian army, using Kalibr missiles on the southern outskirts of Dnepropetrovsk, destroyed the equipment of the S-300 division, which was delivered to Kiev from Europe, hidden in the hangar, the Russian Defense Ministry said.

Four S-300 launchers and up to 25 Ukrainian servicemen were also destroyed, the ministry said.

In addition, a Ukrainian Mi-24 military helicopter in the Kherson region was shot down in the air by concentrated small-arms fire, the ministry informed.
Galip SV
 
Sasa kama Finland atajiunga na NATO na yeye ataenda kumvamia kuwa anahatarisha usalama wake au ndiyo yals yale,wakati umeelekeza nguvu zako zote kuziba Sebuleni kunakovuja,Chumbani ndiyo kunavuja zaidi
Nakubaliana na wewe kwenye hii vita Russia ameonyeaha wikness kubwa Sana hasa kiintelejensia.Pia kijeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…