LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Unapoelekea utasema Urusi hana nukes, kama kweli anazo azitumie kwenye real battle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwamba hujui Urusi ana hypersonic missiles ambazo haziwezi kuwa intercepted au basi tu unataka kubishana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko wapi hzo ? Achana na story za vijiweni , ni mda mwafaka wa urusi kutuonyesha mana ameitafuta chance , na imetokea ,..urusi itamgharimu Sana , japo Ukraine ndo middle , wahuni wao wanakula kuku Kwa mrija maeneo ya Indianapolis
 
Kama hii ni kweli, wamarekani sio watu zaidi ya nilivyokuwa nikifikiri awali.
 
hakika ila vita ambayo haijavuka hata week huwezi sema imechukua muda mrefu nawala hakuna sehemu RUSSIA kasem atachukua muda kumpindua ama kuiangusha serikali yajijini KIEV
Ni sawa
 
UKRAINE hata atengewe kiasi gani MKUU itamchukua zaidi ya miaka 10 ku rebuil upya hasara alizozipata ama anazoendela kuzipata
ingawaje atapata unafuu sababu yakusaidiwa
Vita ni mbaya sana
 
Huyo mwamba kama ataendelea kubaki kyv watamla kichwa kama wamemkosa inamaana bado watadili nae
 
Hello JF think tanks, Good morning!?

Political analysts, Geo-political specialists, International relations specialists, Local, national, regional and international political pundits.

Please say something here! What's it that Ukraine is vital for both Russia and NATO members?
 
Ziko wapi hzo ? Achana na story za vijiweni , ni mda mwafaka wa urusi kutuonyesha mana ameitafuta chance , na imetokea ,..urusi itamgharimu Sana , japo Ukraine ndo middle , wahuni wao wanakula kuku Kwa mrija maeneo ya Indianapolis
Putin si kashasema hadharani taifa lolote litakaloingilia hii vita directly litajua halijui. Waambie sasa hao Marekani na NATO wako waingie front kupigana na Urusi, wasiishie tu kutoa msaada wa silaha Ukraine, afu uone Putin atafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hii ni kweli, wamarekani sio watu zaidi ya nilivyokuwa nikifikiri awali.
Ukifungua link niliyoweka. Vithibitisho vimeambatanishwa humo.
Baadhi ya maelezo kutoka kwenye link hiyo.
===
Both facilities are owned and secured by the Government of Ukraine, but neither facility is currently performing active biological work because DTRA has asked the Ukrainian authorities not to begin work until acceptance and completion is complete, the procurement materials said.

Moscow has claimed its concern over the developing biological weapons near Russia’s borders. Russian President Vladimir Putin worried about the “purposeful and professional” collection of biomaterials of Russians by foreigners.
 
Yani we jamaa Una mawazo ya komborera na ushabiki wa vijiweni , NATO, itamshambulia kupitia humo humo Ukraine , Yani yeye ajue tu kwamba kupitia Ukraine anapambana na wengi .... Hautaona kombora linatokea sjui marekani au sjui wapi , humo humo tuuu watamvurugia , japo Ukraine ndo mbuzi wa kafara...Naona hata tajiri wa Chelsea ameamua kuikimbia timu Kwa mda , mzungu sio mtu mzur😊
 
Unapoelekea utasema Urusi hana nukes, kama kweli anazo azitumie kwenye real battle

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, wamba kibao nukes wanazo ila ni confidential hakuna anaejitangaza kwamba mimi ninazo. Logic yangu ipo clear kwamba Russians currently hawezi kuwa na kitu cha kuwazidi wengine, kama ni mfatiliaji wa hizi mambo British alikuwa wa kwanza ku introduce tank kulichofuata wengine wakafuata, Russia alikuja na bm au ballastic messile wengine waka invest kwenye ant missile soft ware. Mimi na balance mizani kwenye hii batlle
 
Bado tu? Russia amalize twenda Era ya pili ya then what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…