Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Huyo mfia US hajielewi...ni ZUZU![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimemaliza kusoma hii content nikaikumbuka comment ya mfia US huko nyuma... Aliwah sema ukiondoa Nukes Russia ni mchumba tu hana lolote [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
California pia imeizidi UK.Russia ilinganishe na Calfonia
Ni kweli msafara ule umepigwa wanajeahi 1000 wa urusi wameuwawa?Kila nikiona habari za BBC zinadai Russua wamekimbua kyiv sasa ukweli ukoje, je kyiv imekombolewa au bado?
nashkuru kwakuniwahi nilitaka kuwauliza hvyo piaHii post mbna mnairudia sana??