Empty head unazani Usa akiingia kuna ambacho uyo basha wako ata fanya?? Ilo ni biti la mtu anae jua majibu amna nchi inayo ingia ingia tu vitani kwa sababu ya nchi nyinginPutin si kashasema hadharani taifa lolote litakaloingilia hii vita directly litajua halijui. Waambie sasa hao Marekani na NATO wako waingie front kupigana na Urusi, wasiishie tu kutoa msaada wa silaha Ukraine, afu uone Putin atafanya nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishachukua nchi kazi inayofuata ni kusimika utawala wako na kumantain order. Hii kazi ni ngumu pia kama raia hawakutaki.Ni suala la muda tu Kiev itachukuliwa, baada ya hapo kitachofuata ndio hasa hakijulikani russia watatake full control ya ukraine au kutakuwa na on street fights.
Urusi hawatoki ulaya wanatoka wapi?Naombeni mniambe tunaposema huyu ni mzungu tunaangalia ngozi ama! Mana nashangaa kuwaita warusi eti ni wazungu wakati hawatoki Ulaya.
Mzungu in English is called a European. Sasa Kama tunaangalia ngozi nyeupe Basi hata mchina, mhindi n k naye ni mzungu
Tafadhari naomba msaada!! Mzungu ni nani na je ili aitwe mzungu lazima awe na ngozi nyeupe, au aishi Ulaya au yeyote anaweza kuwa mzungu mchina ili mradi ni raia wa Ulaya au uchina
Sasa ukileta wanajeshi bila supplies maana yake nini. That means hukutaka kupigana muda mrefu, tunachotazama sio umetumia muda gani bali ulikuwa na lengo gani. Siku mbili zote unapigania 10km na una jeshi kubwa. Superpower anatumia siku mbili kupigana kuchukua 10km zilizo chini ya weak military. Russia ilijua yatakuwa yaleyale ya Crimea kwamba wanajeshi wa Ukraine wataweka silaha chini, ikatoa wanajeshi wake kwenye mazoezi ikawaleta kwenye battleground bila kupanga kuwapa ammunition, chakula, madawa.hili lakwamba PUTIN hakujiandaa kuingia vitani nalipinga
nahili lakuanza kutilia shaka uwezo wa RUSSIA wakat hata week bado hili sidhanii kama lipo sawa...
Atomic inaingiaje hapa. Tangu atomic weapons ziundwe zimetumika 1945, mpaka leo hakuna vita zimepigwa? Kwahiyo Urusi anafeli kisa hajatumia atomic weapons, hivyo vifaru na MLRS aliunda vya nini sasaHivi una akili sawasawa?? Unataka Urusi atumie ATOMIC pale UKRAINE?? Wewe kwa akili yako MAJESHI YA URUSI YAPO WAPI? AU KWA AKILI ZAKO NCHI KUPIGWA NI KUPIGA MJI MKUU TU??
Daah this is not at all... Mungu tu asaidie jaman... watu wanakufa kama kuku
Kwan sa hv hajashambulia maeneo hayo ,juzi nilimsikiliza mtaalamu fulani wa mambo ya Diplomasia kutoka Kenya anadai hairuhusiwi kutumia nguvu kupita kiasi na pia sheria za kimataifa zimekataza nchi yeyote kufanya mashambulizi eneo la maghala ya chakula na makazi ya watu
hivo basi, usitegemee Urusi atumie silaha nzito,sheria inamtaka a target military facilities tu