LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Putin si kashasema hadharani taifa lolote litakaloingilia hii vita directly litajua halijui. Waambie sasa hao Marekani na NATO wako waingie front kupigana na Urusi, wasiishie tu kutoa msaada wa silaha Ukraine, afu uone Putin atafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Empty head unazani Usa akiingia kuna ambacho uyo basha wako ata fanya?? Ilo ni biti la mtu anae jua majibu amna nchi inayo ingia ingia tu vitani kwa sababu ya nchi nyingin
 
Ni suala la muda tu Kiev itachukuliwa, baada ya hapo kitachofuata ndio hasa hakijulikani russia watatake full control ya ukraine au kutakuwa na on street fights.
 
Miujiza ya wachangiaji

Wanajua alikokimbilia Rais Wa Ukraine alafu Russia haijui.


Wanaamini russia itaishinda Ukraine maprma wakati imewachukua miaka kuituliza Chechnya.
 
RUSSIA KA SURRENDER SASA
fe203b4b85d54216198f63dfc6747aad0ef9e3e0d76f41c50c0518fa3b72c06c.0.png
 
Hii ndio silaha kali kupata kutokea duniani ktk non nuclear weapons na madhara yake ni makubwa sana.

Magari ya kivita ya hayo makombora yamevuka mpaka jumamosi kuingia Ukraine.

Inaleteta madhara kwa kunyonya oksijen yote mpaka kwenye mapafu na kusababisha mlipuko mkubwa sana na wenye madhara makubwa.

Putin ametoa kibali cha kutumia silaha hiyo hatari sana baada ya majeshi ya Ukraine kuharibu vifaru 56 na kuua makondoo hatari wa Chechenya waliokuwa wamepewa jukumu la kumuua Raisi wa Ukraine.

US walitumia silaha hiyo Vietnam na Tora Bora kwa wataliban na matumizo ya hii silaha yatamiliza vita mara moja Kiev.

Ukraine wamepata msaada mkubwa kutoka kwa Elon Mask ambae amewapa space ya kutumia mtandao wake satellite wa Statlink ambao haudukuliki na hackers wa US na NATO wamefanya Cyber attacks katika Russia defence systems na kuweka ugumu sana vita kwa Russia.

Raisi wa Ukraine ameponza watu wake angekubali kutoroshwa na US haya madhara yanayokuja yasingetokea.
 
Ni suala la muda tu Kiev itachukuliwa, baada ya hapo kitachofuata ndio hasa hakijulikani russia watatake full control ya ukraine au kutakuwa na on street fights.
Ukishachukua nchi kazi inayofuata ni kusimika utawala wako na kumantain order. Hii kazi ni ngumu pia kama raia hawakutaki.
 
Naombeni mniambe tunaposema huyu ni mzungu tunaangalia ngozi ama! Mana nashangaa kuwaita warusi eti ni wazungu wakati hawatoki Ulaya.

Mzungu in English is called a European. Sasa Kama tunaangalia ngozi nyeupe Basi hata mchina, mhindi n k naye ni mzungu

Tafadhari naomba msaada!! Mzungu ni nani na je ili aitwe mzungu lazima awe na ngozi nyeupe, au aishi Ulaya au yeyote anaweza kuwa mzungu mchina ili mradi ni raia wa Ulaya au uchina
Urusi hawatoki ulaya wanatoka wapi?
 
hili lakwamba PUTIN hakujiandaa kuingia vitani nalipinga
nahili lakuanza kutilia shaka uwezo wa RUSSIA wakat hata week bado hili sidhanii kama lipo sawa...
Sasa ukileta wanajeshi bila supplies maana yake nini. That means hukutaka kupigana muda mrefu, tunachotazama sio umetumia muda gani bali ulikuwa na lengo gani. Siku mbili zote unapigania 10km na una jeshi kubwa. Superpower anatumia siku mbili kupigana kuchukua 10km zilizo chini ya weak military. Russia ilijua yatakuwa yaleyale ya Crimea kwamba wanajeshi wa Ukraine wataweka silaha chini, ikatoa wanajeshi wake kwenye mazoezi ikawaleta kwenye battleground bila kupanga kuwapa ammunition, chakula, madawa.

Mpaka hapa tulipofikia kuna points zinapungua kwenye uwezo wa jeshi la Urusi. Ngoja wabadili tactics tuone tena
 
⚡⚡Ukrainian President Zelensky has acknowledged the proposal to start talks in Belarus. He said that Kiev would have agreed "if there had been no military action from the side of Belarus."

Zelensky suggested Warsaw, Bratislava, Budapest, Istanbul or Baku

RT
 
Haya sasa warusi wa kwa Mtogole mnasikia haya reymage [emoji28]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]acha kabisa yetu macho tuu!warusi wa kijaluo wananipa raha sana[emoji56][emoji56][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi una akili sawasawa?? Unataka Urusi atumie ATOMIC pale UKRAINE?? Wewe kwa akili yako MAJESHI YA URUSI YAPO WAPI? AU KWA AKILI ZAKO NCHI KUPIGWA NI KUPIGA MJI MKUU TU??
Atomic inaingiaje hapa. Tangu atomic weapons ziundwe zimetumika 1945, mpaka leo hakuna vita zimepigwa? Kwahiyo Urusi anafeli kisa hajatumia atomic weapons, hivyo vifaru na MLRS aliunda vya nini sasa
 
Hii vita bado ni mapema sana kuitabiri naamini rais wa Ukrain yuko smart sana na anajifanya kushindwa ila anacheza na akili za putin kujifanya dhaifu ila atamharibia sana
 
Habari ndg natumaini mu wazima wa afya...
Sifurahii vita wala kusapoti upande wowote lakini kwakiasi furani Urusi amelazimishwa na anahaki kabisa ya kufanya anayoyafanya...

Niwaase ndgu zangu mnaofuatilia kwa ukaribu suala hili la vita ya Ukraine na Vladimir Putin msidanganyike kirahisi na Western medias(vyomb vya habari vya magharibi.
Serikali ya Ukraine haswa Zelensky mwenyewe Raisi wa Ukraine anatambua haswa kwanini Putin yupo kwenye makasiriko.kiufupi suala hili la Ukraine na urusi....
1.Kumekuwa na sintofahamu dhidi ya mataifa haya mawili(Slavic states)kwa miaka mingi Sasa(kiutamaduni,kikabila...n.k)

2.Lengo la Urusi haswa siyo vita na Ukraine Kama inavyoonekana au kutafsiriwa na vyombo vya habari ulimwenguni. Putin anayomalengo yake mengine.

3.Putin amekuwa akiionya kwa miaka kadhaa Sasa serikali ya Ukraine kuhusu kuwa Kama kitovu Cha upelelezi dhidi ya taifa lake(Urusi)...na Vladimir Putin kwa ujumla...
Kiufupi mali nyingi ambazo Ukraine wamekuwa wakizimiliki(mafuta, gesi, na zaidi siraha za kivita zimekuwa zikimilikiwa na kuendeshwa na serikali na makampuni kutoka Marekani.

Kiufupi Marekani amekuwa kwamiaka mingi anatumia pesa nyingi kumtenganisha kabisa mrusi na Ukraine huku akitengeneza ukaribu zaidi na yaifa hilo la UKRAINE kwa misaada n.k mfano bomba la mafuta ambalo lilotakiwa lipite njia rahisi kabisa ya Ukraine kwenda ulaya magharibi (the nord stream 2).
jambo ambalo Ni tatizo kwa usalama wa taifa la Urusi..(rudi kwenye historia mzozo wa Urusi na Marekani kuhusu suala la Uturuki , Cuba...

Nimejifunza waafrika wengi tunaamini moja kwa moja tunayoyaona kwenye vyombo vya habari bila kujiuliza maswali au kufanya uchunguzi japo kidogo sisapoti vita lakini najaribu kumuelewa Putin na Urusi jambo ambalo wanajaribu kulifanya.

Kwakumalizia
1. UKRAINE ilishaandaliwa mapema Sana mipango ya NATO ilishasukwa mapema ikiwemo wanajeshi kuletwa mapema zaidi hasa mji wa Kyiv.2.Kama Urusi wangedhamiria kuipiga UKRAINE ingeshapotea kabisa siku ya kwanza..

Lakini zaidi kila nchi huru ikiwemo Ukraine inauhuru wake wakuchagua Nani awe rafiki/mshirika(An Ally) Kama Mrusi anawasiwasi na Ukraine 1..angejikita kwenye kuongeza nguvu kulinda mipala yake Kama afanyavyo North Korea dhidi ya South Korea..2..Angetumia mbinu kama alizotumia miaka ya 1962 Cuba n.k 3.Ajikite kuimarisha uchumi wake uliodorora Sana kwani maadui zake Ni wengi na wapo vizuri kiuchumi.
.
 
juzi nilimsikiliza mtaalamu fulani wa mambo ya Diplomasia kutoka Kenya anadai hairuhusiwi kutumia nguvu kupita kiasi na pia sheria za kimataifa zimekataza nchi yeyote kufanya mashambulizi eneo la maghala ya chakula na makazi ya watu
hivo basi, usitegemee Urusi atumie silaha nzito,sheria inamtaka a target military facilities tu
Kwan sa hv hajashambulia maeneo hayo ,
 
Eukrain ni nchi huru. Inajiunga na umoja inayotaka, inajilinda kwa namna inayoona inafaa. Si lazima ifuate matakwa ya Russia. Au ni lazima? Maana umeandika kama vile Eukraine inatakiwa ifuate matakwa ya Russia na si USA ukasahau kuwa ile ni nchi pia.
 
Back
Top Bottom