Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah kama ni kweli watu wote hao wamenasa hump ndani ya handaki hii itakua ni janga kubwa sana la kibinadamu kutokea hapa duniani na aibu kubwa sana kwa nchi za Magharibi .
Na kama kweli huyo Luteni Generali wa Marakani katekwa na hao askari wa NATO hii ni pogo kubwa sana kwa NATO .
Naona juzi counselor wa Austria ameenda Moscow kuomba humanitarian corridor Ili wakubwa kutoka France, Germany, Austria wako humo ndani wamenasa waweze kutoka salama.

Kidume Putin alimjibu huyo counselor wa Austria neno moja tu NYET.

NYET kwa kirussi Ni NO
 
Kuna pro[emoji635][emoji635] hapa watapita kimya. Maana wanashindwa waanzaje kuchangia . yaan chombo cha habari hawakiamini ila maneno yaloyotolewa na chombo hicho wameyafurahia [emoji16][emoji16][emoji16].
Hiyo inaitwa nyama sili, ila supu nakunywa .
[emoji23][emoji23][emoji23] Wazee wa 'Western media Propaganda' halafu wanakwambia ukitaka habari za kweli utazipata kutoka RT [emoji846]
 
Nobody else knows Russias'war plans,except Putin and Russian Millitary Planners.Usidhani kwa ku-move East ndio wameshindwa kuteka Kyiv.That is their plan according to them.Nia kwanza ilikuwa kuharibu strategic points all over Ukraine,wamalize consolidation East ambako ndipo penye umuhimu sana kwao,halafu waje kumalizia Central and Western Ukraine.Kyiv will fall,no question about it,ni swala la muda tu.
😂😂 pro🇷🇺🇷🇺 anasema hakuna mtu mwingine anayejua mipango ya kivita isipokua Putin na military planners wake .
Ila cha ajabu na yeye anaijua mipango hiyo 😂😂😂😂. Sexer Nyamizi , Tsh. Kazi tunayo 🏃🏃🏃🏃🏃
 
Naona juzi counselor wa Austria ameenda Moscow kuomba humanitarian corridor Ili wakubwa kutoka France, Germany, Austria wako humo ndani wamenasa waweze kutoka salama.

Kidume Putin alimjibu huyo counselor wa Austria neno moja tu NYET.

NYET kwa kirussi Ni NO
😂😂😂 kutana na m🇷🇺🇷🇺 kutoka buzebazeba aliyepata nafasi ya kuhudhuria kikao kati ya Putin na chancellor.
 
Kuna pro[emoji635][emoji635] hapa watapita kimya. Maana wanashindwa waanzaje kuchangia . yaan chombo cha habari hawakiamini ila maneno yaloyotolewa na chombo hicho wameyafurahia [emoji16][emoji16][emoji16].
Hiyo inaitwa nyama sili, ila supu nakunywa .
Hahahahahaha
 
Analegeza sasa hivi sababu umempiga. Kesho akipata nguvu? Kwa nionavyo mm mabavu ni mazuri kama unataka kulifuta taifa lisiwepo tena, ila kufanya vizazi vya taifa vifuate matakwa yako kwa mabavu ni suala la muda tu utalazimika tena kutumia mabavu na kadri unavyorudia rudia kutumia mabavu ndivyo unayemkalia kimabavu anavyokuwa sugu.
Atakuwaje na mabavu wakati amesaini mkataba wa kumbana asiwe na hayo mabavu?
 
Dah kama ni kweli watu wote hao wamenasa hump ndani ya handaki hii itakua ni janga kubwa sana la kibinadamu kutokea hapa duniani na aibu kubwa sana kwa nchi za Magharibi .
Na kama kweli huyo Luteni Generali wa Marakani katekwa na hao askari wa NATO hii ni pogo kubwa sana kwa NATO .
Wameanza kuumbuka
Screenshot_20220412-232132.jpg
 
Acha uongo mzee mzima kushinda unadanganya watu wazima ni aibu.
SOma mifano. Ulidai hakuna mwanajeshi anayeweza kugome. Nimekupa mifano mingi. Unadai si kweli kama mtoto anayefunga macho na kufunika masikio akisema hapana hapana hapana.
Pia nimekupa mfano wa utaratibu wa majeshi ambayo kuna utaratiobu; unatakiwa kutekeleza kila amri ambayo ni kisheria, lakini huruhusiwi kutekeleza amri inayovunja sheria.
Ambayo ni pia sheria ya kimataifa na msingi wa kuhukumu wanajeshi wanaoua hovyo watu raia.
 
[emoji23][emoji23] pro[emoji635][emoji635] anasema hakuna mtu mwingine anayejua mipango ya kivita isipokua Putin na military planners wake .
Ila cha ajabu na yeye anaijua mipango hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sexer Nyamizi , Tsh. Kazi tunayo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hayo haya jasemwa proRussia hayo maneno yalisemwa na maafisa wa upelelezi wa Marekani na Uingeleza ya kwamba mpaka sasa hawajajua Malengo ya Putin ndani ya Ukrain.
 
NATO will do everything so that the officers of the alliance, who, together with the nationalists, are now surrounded at the Azovstal plant, do not fall into the hands of Russia.

This was stated in our stream by political strategist Marat @politjoystic Bashirov. He added that for a long time they did not go to radio communications with our troops:

“After the first radio contacts, when they asked our side to provide them with an exit from Azovstal, when they realized that neither the turntables would fly for them, nor could they get out by sea, because the port had already been blocked by the forces of the people’s republic and the Russian Federation.”
Galip SV
20220411_223049.png
 
German farmers are suffering from rising prices for fertilizers and diesel fuel amid the Ukrainian crisis and anti-Russian sanctions.

One of them, who works in Nuremberg, said that manufacturers have to pass on some of the additional costs to buyers:

“Prices have increased by 300%, which means that the cost of vegetable products must be higher to cover additional costs.”

Farmers in Spain, the United States and a number of other Western countries have faced similar problems.
Galip SV
20220411_223049.png
 
Relations between Russia and the United States may complicate the return of basketball player Greiner to her homeland

🇺🇸 White House press secretary Jen Psaki commented on the situation with two-time Olympic basketball champion Brittney Griner, who was detained in the Moscow region on charges of drug smuggling.

🗯 “The history of our relationship may affect the ability to return US citizens home,” Psaki said.

🤔 The athlete playing for the Yekaterinburg UMMC was detained on March 17 at Sheremetyevo Airport while passing the green corridor. Her luggage was checked using X-ray equipment and found vapes - cartridges for an electronic heating system - with cannabis oil.
Galip SV
20220411_223049.png
 
Back
Top Bottom