wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ni taifa kubwa ila linaongozwa na wahuni, majambazi na ma-mafia.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ni taifa kubwa ila linaongozwa na wahuni, majambazi na ma-mafia.
Shukran MKUU nilifanikishaUninstall jamiiforums mobile app, kisha nenda google au crome ingia www.jamiiforums.com.
Kwasababu bila ku-uninstall mobile app Hata ukingilia google inakurudisha kwenye mobile app.
Huyu jamaa ni muongo kupindukia.Rekebisha hapo
Majambazi sana haya majamaa.View attachment 2185271 Ingawa nje ya mada ila tunakumbushana tu, 2003 US na washirika wake waliivamia Iraq kwa kisingizio cha Weapon of Mass Destruction (WMD) kinyume chake wakaenda kufanya kwa jina jepesi ni "wizi" ndani ya Iraqi.. Wakabeba dhahab, wakabeba wakasepa nayo.
Na namna walivo wakatili wakadepleted uranium slugs pulverize and seep into the soil, poisoning the groundwater and getting into the very air people breathe.These poor children are the result. View attachment 2185261 Ila dunia ipo kimya as if wale hawakua binadam. Yet vitoto vilivo brainwashed vinaona Americans kama Malaika...
Lakini huenda sio makosa yao, labda nyakati hizo walikuwa bado wapo kwenye zip za surual za Baba zao... Wakisubiri wapelekwe kwenye skirt baada ya miezi tisa walione jua.
Kumbe unasema mwizi? Una ushuhuda? Ni dhahiri walikuta dhahabu iliyoibiwa na mtu wa serikali au jeshi la Saddam.Majambazi sana haya majamaa.View attachment 2185303
| Story Tools |
|
Nikupa mifano kibao. Unaamua kufunga macho na masikio? sawa funga, ubaki jinsi ulivyo.Haya unayo yaongea ni nadharia hayana uhalisia wowote na wala hayana ushahidi wowote ili kuupa nguvu uongo wako.
Haya nipe ushahidi wa wanajeshi wa Urusi kugoma kufanya mashambulizi Odesa.
Yaani serikali inayo kulipa mshahara na kukutunza, kukulisha leo ikwambie kwenda vitani ujifanye unagoma labda kama serikali ni ya baba yako
Fake NewsView attachment 2185271 Ingawa nje ya mada ila tunakumbushana tu, 2003 US na washirika wake waliivamia Iraq kwa kisingizio cha Weapon of Mass Destruction (WMD) kinyume chake wakaenda kufanya kwa jina jepesi ni "wizi" ndani ya Iraqi.. Wakabeba dhahab, wakabeba wakasepa nayo.
Na namna walivo wakatili wakadepleted uranium slugs pulverize and seep into the soil, poisoning the groundwater and getting into the very air people breathe.These poor children are the result. View attachment 2185261 Ila dunia ipo kimya as if wale hawakua binadam. Yet vitoto vilivo brainwashed vinaona Americans kama Malaika...
Lakini huenda sio makosa yao, labda nyakati hizo walikuwa bado wapo kwenye zip za surual za Baba zao... Wakisubiri wapelekwe kwenye skirt baada ya miezi tisa walione jua.
Unajua context ya hii pichaMajambazi sana haya majamaa.View attachment 2185303
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna pro[emoji635][emoji635] hapa watapita kimya. Maana wanashindwa waanzaje kuchangia . yaan chombo cha habari hawakiamini ila maneno yaloyotolewa na chombo hicho wameyafurahia [emoji16][emoji16][emoji16].
Hiyo inaitwa nyama sili, ila supu nakunywa .
Cheap propaganda.Tuna subiri your expensive propaganda. Maana Ukraine kuua raia wake ili ipate picha na video za kusema uongo si gumu kwao kama inavyosemekana wamefanya uko Bucha. Kweli propaganda za bei kubwa wanaziweza!!! Yaani unaua raia wako ili kuwafurahisha wanaokudanganya ni jambo la kutia aibu na kulaaniwa kwa viongonzi wa nchi.
Hii sio propaganda?Ni ukweli
Tuoneshe mauaji ya us kwa iliyokua YugoslaviaView attachment 2185178
View attachment 2185180
View attachment 2185179
Urusi Taifa la hovyo sana Hizi ni baadhi ya picha ya mauaji ya Bucha.
Kwahio USA ikiiua inahalalisha mauaji UkraineTuoneshe mauaji ya us kwa iliyokua Yugoslavia
Pole sana. Jitahidi kunywa Maji kulingana na uzito wako maana msongo wa mawaZo si mzuri kwa afya.Cheap propaganda.
Nakumbuka scud?. Waulizwe kama wanaijuaView attachment 2185271 Ingawa nje ya mada ila tunakumbushana tu, 2003 US na washirika wake waliivamia Iraq kwa kisingizio cha Weapon of Mass Destruction (WMD) kinyume chake wakaenda kufanya kwa jina jepesi ni "wizi" ndani ya Iraqi.. Wakabeba dhahab, wakabeba wakasepa nayo.
Na namna walivo wakatili wakadepleted uranium slugs pulverize and seep into the soil, poisoning the groundwater and getting into the very air people breathe.These poor children are the result. View attachment 2185261 Ila dunia ipo kimya as if wale hawakua binadam. Yet vitoto vilivo brainwashed vinaona Americans kama Malaika...
Lakini huenda sio makosa yao, labda nyakati hizo walikuwa bado wapo kwenye zip za surual za Baba zao... Wakisubiri wapelekwe kwenye skirt baada ya miezi tisa walione jua.
Sawa Dada, ila usisahau kumeza ARV na kutumia kondomu za USAIDPole sana. Jitahidi kunywa Maji kulingana na uzito wako maana msongo wa mawaZo si mzuri kwa afya.
Tuoneshe wapi ulisema US ni nchi ya ajabu, maada ya mauaji iraq na Afghanistan. Wakifa ukraine ni tatizo, wakifa waarabi sio tatizo.Kwahio USA ikiiua inahalalisha mauaji Ukraine