Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anajitahidi, lakini ni maneno matupu. Nani angepiga Urusi? Ukraine yenye makisio asilimia 10 ya Urusi??? NATO iliyojaa mafarakano ndani yake kabla ya vita?
Jeshi la Ukraine kwa kutumia silaha ndogo za mbegani?
Lukashenka anapaswa kujitahidi kucheza wakati Putin anapiga ngoma. Maana hadi sasa hawezi kutuma jeshi lake akijua wengi wangegoma. Kwa hiyo anapiga vita ya mdomoni na kwa kumruhusu Putin kutumia eneo lake.
Ila ww jamaa na umri ulionao huoni aibu kuandika uongo humu? yaani amiri jeshi mkuu atoe amri ya jeshi la nchi yake kwenda vitani jeshi ligome kwenda vitani?

Hivi we jamaa mbona unataka kutufanya mazuzu humu?
Nilisha kuambia hakuna jeshi lolote duniani hata huko kwa wamagharibi mnao sema wana demkirasia linalo weza kukaidi amri waliopewa na makamanda wao la sivyo utapewa kesi ya uhaini ambapo katika mataifa mengi ikiwemo Marekani hukumu yake ni kifo.
Narudia tena acha uongo unajadiliana na watu wenye uelewa na sio watoto.
 
Ikumbukwe pia vikwazo sio vya milele!Huenda vita ikaisha na vikwazo vikaja kuondolewa kabla havijaleta hayo madhara unayoyategemea!
Maana Kwa kauli Yako umesema huu ndio mwisho wa Urusi!
Labda ungefafanunua zaidi hapo!
Kuondolewa kwa vikwazo itategemea vita imekwisha vipi? Sidhani kama tu hata akiamua leo amalize vita ndiyo watamwondolea hivyo vikwazo papo kwa hapo
 
Unaambiwa those who don't learn from history are bound to repeat it. Urussi haijajifunza kutokana na Cuba Missile Crisis na Kilichotokea baadae.
Urussi kakosea sana kuivamia Ukraine maana ameingiza destabilization katika nchi yake. Chukua popcorn ushuhudie anguko la Putin
Lini ataanguka? Yupo in power since 1999 yamkini ulikua unanyonya. Lini ataanguka?? Ili tuanze kula popcorn
 
Cheap Propaganda!
Tuna subiri your expensive propaganda. Maana Ukraine kuua raia wake ili ipate picha na video za kusema uongo si gumu kwao kama inavyosemekana wamefanya uko Bucha. Kweli propaganda za bei kubwa wanaziweza!!! Yaani unaua raia wako ili kuwafurahisha wanaokudanganya ni jambo la kutia aibu na kulaaniwa kwa viongonzi wa nchi.
 
Hatutarajii civil war itokee urussi ila tunatarajia regime change kama iliotokea 1991 kwa mikhail Gorbachev.

Urussi sio mali ya Putin, urussi ni nchi yenye democrasia(kwenye karatasi) kwahio anguko lake halitakua tofauti na wenzake waliopendwa kumliko.

Alafu kuhusu kuungwa mkono, rejelea kura za UN uone kati ya Urussi na USA na mwenye wafuasi
Putin yupo in power since 1999 na bado yupo sana. Bush jr, Obama, trump na sasa Biden. Wote wamemkuta na watamuacha... acheni ndoto za alinacha.
 
Hapa ni pagumu sana ni sawa na mtu anamiliki usafiri ambao unabeba nchi nzima alafu mgome heti hatupandi huo usafiri wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ni sawa na "Neema" anayetaka kujinyonga kisa "amesikia" mpenzie kacheat... hivo anaona akijinyonga "John" atakosa uhondo naye ndo kwaaanza anahamia kwa "Priska" uku kwa mbaali "Debora" akimmezea mate ya uchu akitaman kua nae.
 

Fire trucks are being brought to the Ukraine Asovstal Steel Plant. They will pump water into underground hideouts to DROWN 3,000 hold-out NAZIS​


Fire Trucks Being Brought To Ukraine Asovstal Steel Plant - Will Pump Water into Underground Hideouts to DROWN 3,000 Hold-out NAZIS

Fire trucks are being brought to the Azovstal Steel Mill in southern Mariupol, Ukraine . . . but there is no fire. The trucks are going to be used to pump water into the plant, to DROWN the three thousand Azov Regiment Nazis holed-up in the vast catacombs beneath the plant. Each fire truck will pump about 35,000 gallons per hour into the underground complex via the above-ground air ducts until all the NAZI troops are either drowned or otherwise suffocated to death.
The Azovstal steel complex is a major piece of infrastructure for Ukraine and for the region. Damaging it with bunker-buster bombs to get at the AZOV Regiment Nazis, Biolab workers, and (alleged) NATO Officers hiding from Russian troops there, is thought to be too high a price to pay. Said one Russian official who asked to remain anonymous "Nazis have no value, as humans or otherwise. The steel mill, however is quite valuable and important."

While bombing the plant has, for now, been ruled out, the plant can survive being inundated with water.
Using the nearby Kal'mius River to the north of the plant, and the nearby Sea of Azov to the south of the plant, multiple fire trucks can each pump about 35,000 gallons of water PER HOUR into ventilation shafts, to fill the vast underground tunnels with water.

At least ten fire trucks are said to be either on the way, or already at the plant, to begin drafting water from the River or the Sea, and pumping the water into the above-ground ventilation air shafts that carry fresh air into the cavernous tunnel network beneath the plant.
If the AZOV Nazis close off the air shafts, they will suffocate within days. If they do not shut off the air shafts, they will drown in days. Either way, the siege at the plant will be brought to an end in a manner that the plant itself can survive and recover from.
The water-flow operation to drown the NAZIS is REPORTEDLY set to begin tomorrow (Tuesday).
 
Hatutarajii civil war itokee urussi ila tunatarajia regime change kama iliotokea 1991 kwa mikhail Gorbachev.

Urussi sio mali ya Putin, urussi ni nchi yenye democrasia(kwenye karatasi) kwahio anguko lake halitakua tofauti na wenzake waliopendwa kumliko.

Alafu kuhusu kuungwa mkono, rejelea kura za UN uone kati ya Urussi na USA na mwenye wafuasi
Hatuwashangai maana haya mnayo yatabiri kwa Urusi mliyatabili pia kwa Iran baada ya kuiwekewa vikwazo vikali na Marekani mwaka 2018 ,tena mpaka viongozi wa Marekani wakawa wanasema Irani isingeweza kuhimili hata kwa miezi 8 utawala wa Ayatullah unaanguka lakini sasa hivi inaelekea miaka 4 hakuna ya utabiri wowote ulio kamilika.

Mkubali mkatae dunia imebadilika na nchi za magharibi zimesha poteza udhibiti wa uchumi wa dunia, nadhani hata wao watakuwa wana shangaa kwa sababu vikwazo walivyo viweka walitegemea vinge uharibu vibaya sana mfumo wa kifedha wa Urusi lakini hali ni tofauti.

Walitegamea wangeigeuza sarafu ya Urusi iwe kama ya zimbabwe lakini wameangukia pua kwa hiyo hayo yote mnajifariji tu.
 
Back
Top Bottom