Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona juzi counselor wa Austria ameenda Moscow kuomba humanitarian corridor Ili wakubwa kutoka France, Germany, Austria wako humo ndani wamenasa waweze kutoka salama.

Kidume Putin alimjibu huyo counselor wa Austria neno moja tu NYET.

NYET kwa kirussi Ni NO
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wazee wa 'Western media Propaganda' halafu wanakwambia ukitaka habari za kweli utazipata kutoka RT [emoji846]
 
Naona Wakomunist wanalike hii habari kwa macho tu[emoji846]
Wameshikwa pabaya, wanatamani waunge mkono kauli ya Putin na hapohapo wanatamani kuiponda BBC [emoji23][emoji23]. Matokeo yake wanabaki kujipigapiga kifua kwa hasira [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ pro๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ anasema hakuna mtu mwingine anayejua mipango ya kivita isipokua Putin na military planners wake .
Ila cha ajabu na yeye anaijua mipango hiyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Sexer Nyamizi , Tsh. Kazi tunayo ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kutana na m๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ kutoka buzebazeba aliyepata nafasi ya kuhudhuria kikao kati ya Putin na chancellor.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kutana na m๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ kutoka buzebazeba aliyepata nafasi ya kuhudhuria kikao kati ya Putin na chancellor.
Neni ni moja tuu NYET.Kama mnataka humanitarian corridor hiyo corridor lazima ielekee Urusi na sio sehemu nyingine yoyote
 
Hahahahahaha
 
Nikupa mifano kibao. Unaamua kufunga macho na masikio? sawa funga, ubaki jinsi ulivyo.
Kuhusu Odesa: nimekuonyesha chanzo nilichotumia. Link iko.
Acha uongo mzee mzima kushinda unadanganya watu wazima ni aibu.
 
Atakuwaje na mabavu wakati amesaini mkataba wa kumbana asiwe na hayo mabavu?
 
Wameanza kuumbuka
 
Acha uongo mzee mzima kushinda unadanganya watu wazima ni aibu.
SOma mifano. Ulidai hakuna mwanajeshi anayeweza kugome. Nimekupa mifano mingi. Unadai si kweli kama mtoto anayefunga macho na kufunika masikio akisema hapana hapana hapana.
Pia nimekupa mfano wa utaratibu wa majeshi ambayo kuna utaratiobu; unatakiwa kutekeleza kila amri ambayo ni kisheria, lakini huruhusiwi kutekeleza amri inayovunja sheria.
Ambayo ni pia sheria ya kimataifa na msingi wa kuhukumu wanajeshi wanaoua hovyo watu raia.
 
Hayo haya jasemwa proRussia hayo maneno yalisemwa na maafisa wa upelelezi wa Marekani na Uingeleza ya kwamba mpaka sasa hawajajua Malengo ya Putin ndani ya Ukrain.
 
NATO will do everything so that the officers of the alliance, who, together with the nationalists, are now surrounded at the Azovstal plant, do not fall into the hands of Russia.

This was stated in our stream by political strategist Marat @politjoystic Bashirov. He added that for a long time they did not go to radio communications with our troops:

โ€œAfter the first radio contacts, when they asked our side to provide them with an exit from Azovstal, when they realized that neither the turntables would fly for them, nor could they get out by sea, because the port had already been blocked by the forces of the peopleโ€™s republic and the Russian Federation.โ€
Galip SV
 
German farmers are suffering from rising prices for fertilizers and diesel fuel amid the Ukrainian crisis and anti-Russian sanctions.

One of them, who works in Nuremberg, said that manufacturers have to pass on some of the additional costs to buyers:

โ€œPrices have increased by 300%, which means that the cost of vegetable products must be higher to cover additional costs.โ€

Farmers in Spain, the United States and a number of other Western countries have faced similar problems.
Galip SV
 
Relations between Russia and the United States may complicate the return of basketball player Greiner to her homeland

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ White House press secretary Jen Psaki commented on the situation with two-time Olympic basketball champion Brittney Griner, who was detained in the Moscow region on charges of drug smuggling.

๐Ÿ—ฏ โ€œThe history of our relationship may affect the ability to return US citizens home,โ€ Psaki said.

๐Ÿค” The athlete playing for the Yekaterinburg UMMC was detained on March 17 at Sheremetyevo Airport while passing the green corridor. Her luggage was checked using X-ray equipment and found vapes - cartridges for an electronic heating system - with cannabis oil.
Galip SV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ