NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Sasa tutampangiaje MKUUKwanini huyo kichaa Putin huwa hamegi maeneo ya mataifa ya Baltic au Finland kwanini anaionea Ukraine tu ?
Kamkamateni PUT IN enyi NATO acheni kuli liaView attachment 2185178
View attachment 2185180
View attachment 2185179
Urusi Taifa la hovyo sana Hizi ni baadhi ya picha ya mauaji ya Bucha.
KumbeWameanza kuumbukaView attachment 2185457
Kumbe Boris alienda kuwapigia magoti juzi Kati wawaachie! Nilishangaa surprise visit Ya nini Ukraine.Wameanza kuumbukaView attachment 2185457
Tuwauzie minjingu!!German farmers are suffering from rising prices for fertilizers and diesel fuel amid the Ukrainian crisis and anti-Russian sanctions.
One of them, who works in Nuremberg, said that manufacturers have to pass on some of the additional costs to buyers:
βPrices have increased by 300%, which means that the cost of vegetable products must be higher to cover additional costs.β
Farmers in Spain, the United States and a number of other Western countries have faced similar problems.
Galip SV View attachment 2185483
Hawa wana ulimwengu wao peke yao wanaouishi Mkuu,kwenye vichwa vyao Putin ameshinda hii vita,wakija kwenye uhalisia unaziona stress zao kupitia long comments,ukiwachonokoa kidogo tu wanatamani hata kupasua simu zao kwa gadhabu[emoji846][emoji23][emoji23] pro[emoji635][emoji635] anasema hakuna mtu mwingine anayejua mipango ya kivita isipokua Putin na military planners wake .
Ila cha ajabu na yeye anaijua mipango hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sexer Nyamizi , Tsh. Kazi tunayo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23] waulize sasa mambo ya pale Magogoni tu,hawana walijualo hata moja.Lakini Intel za CIA wanazo.Hawa ndiyo Warussi wa Mama Samia.[emoji23][emoji23][emoji23] kutana na m[emoji635][emoji635] kutoka buzebazeba aliyepata nafasi ya kuhudhuria kikao kati ya Putin na chancellor.
Kumbe ,'inasemekana' si bora hata ungesubiri RT wakathibitishaLeo inasemekana Wanajeshi 1000 au zaidi wamesurrender Mauripol huku 300 wakiwa wounded.
Kiev regime imepanga kumtoa Medvedchuk kama echange ya hao watu 1000+.
Ukizingatia ukaribu wa Putin na huyu bwana ambaye ni pro Russian, atamtelekeza swahiba ake?
Fake newsWameanza kuumbukaView attachment 2185457
Haujui kwamba Finland alishaachia 9% ya eneo lake Kwa Urusi vita ambayo "wanasemaga Urusi alishindwa' ... Yaani aliyeashindwa(Urusi) ana mpa masharti aliyeshinda(Finland) kuwa simalizi vita mpaka unaichie maeneo haya .... Na aliyeshinda(Finland) akakubali kuachia 9% ya eneo lake lote Kwa aliyeashindwa (Urusi) ... Ni upendo wa AGAPE Kwa kweli .... Na Ukraine anashinda huku pia maeneo yanachukuliwa .... Ni ushindi wa kishindo Kwa Ukraine.Kwanini huyo kichaa Putin huwa hamegi maeneo ya mataifa ya Baltic au Finland kwanini anaionea Ukraine tu ?
ππππ nakwambia huu mwaka mtakana maneno yenu si mchezo πππHayo haya jasemwa proRussia hayo maneno yalisemwa na maafisa wa upelelezi wa Marekani na Uingeleza ya kwamba mpaka sasa hawajajua Malengo ya Putin ndani ya Ukrain.
Wewe waache watatarike tu sasa hivi,tunawahesabia week mbili zijazo kisha tutaanza kuwauliza hapa,mradi tu wasipanic kama kawaida yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakwambia huu mwaka mtakana maneno yenu si mchezo [emoji16][emoji16][emoji16]
Uzuri sisi tutaendelea kuwakumbusha tu.
proπ·πΊπ·πΊ wanapiga kelele hapa kila siku mara ooh!! mji wa maliupol uko chini ya umiliki wa π·πΊπ·πΊ . sasa hao wanajeshi wametoka wapi kama mnaumiliki mji wa maliupol ?ππππLeo inasemekana Wanajeshi 1000 au zaidi wamesurrender Mauripol huku 300 wakiwa wounded.
Kiev regime imepanga kumtoa Medvedchuk kama echange ya hao watu 1000+.
Ukizingatia ukaribu wa Putin na huyu bwana ambaye ni pro Russian, atamtelekeza swahiba ake?
Ishathibitishwa, huwa nasoma kwa wale reporters waliopo front, kuna baadhi wanajeshi wanazopage telegram pia.Kumbe ,'inasemekana' si bora hata ungesubiri RT wakathibitisha
Walikuwa ndani ya kiwanda....proπ·πΊπ·πΊ wanapiga kelele hapa kila siku mara ooh!! mji wa maliupol uko chini ya umiliki wa π·πΊπ·πΊ . sasa hao wanajeshi wametoka wapi kama mnaumiliki mji wa maliupol ?ππππ