lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Bonge la pointMbona nyinyi mlikua mnaikadilia Russia kuwa haina chakula haiwezi himili vita kwa week, mkaja week2 mkaja mwezi. Mkasema hana risasi kaishiwa.
Mkasema vikwazo vitamuathiri kiichumi lakini mambo yamekua viceversa sio nyie?