Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urussi ni nchi maskini tena maskini kweli mbele ya US ki uchumi,hili nalo unataka tubishane?
Halafu tangu lini ukaamini vyombo vya Magharibi,wewe si kila siku hapa unasema haviaminiki.Unapaswa kuwa na msimamo either ukubaliane na kila habari na si kukimbilia kuokoteza ki habari kinachokufurahisha tu na kuja kunibandikia hapa,na kwa mujibu wa msimamo wako unaoeleweka hii nayo ni Propaganda.Leta habari kutoka 'RT'[emoji846]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]...ebu soma hapo kwamba urrsi ni maskini eti

[emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums-1001486645_180x400.jpg

View attachment 2186518
 
Urussi ni nchi maskini tena maskini kweli mbele ya US ki uchumi,hili nalo unataka tubishane?
Halafu tangu lini ukaamini vyombo vya Magharibi,wewe si kila siku hapa unasema haviaminiki.Unapaswa kuwa na msimamo either ukubaliane na kila habari na si kukimbilia kuokoteza ki habari kinachokufurahisha tu na kuja kunibandikia hapa,na kwa mujibu wa msimamo wako unaoeleweka hii nayo ni Propaganda.Leta habari kutoka 'RT'[emoji846]
Au hii [emoji3][emoji3]

[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2186491
 
LIVE



13 Apr, 2022 17:05
HomeRussia & FSU

Russia warns Ukraine it might strike Kiev​

The Russian military said it could target decision-makers in Kiev if Ukraine continues attempting attacks on Russian soil
Russia warns Ukraine it might strike Kiev

FILE PHOTO. Kyiv, Ukraine. © Getty Images / Matthew Hatcher
Moscow has so far refrained from attacking Ukrainian decision-makers, but if Kiev continues attempts to carry out acts of sabotage or conventional attacks inside Russia, this will change, the Russian Defense Ministry spokesman warned on Wednesday.
“We have seen attempts at sabotage and attacks by the Ukrainian military against facilities in Russian territory. If such attempts continue, the Russian Federation’s Armed Forces will strike at the decision-making centers, including Kiev – something we have so far refrained from,” said Major-General Igor Konashenkov.
While Konashenkov did not specify which strikes or attempts at sabotage he was referring to, on Monday Russia declared a heightened terrorism alert in three regions bordering Ukraine – Bryansk, Kursk and Belgorod – and several border municipalities in the regions of Krasnodar, Voronezh and Crimea.
=====
rt.com
 
hata kwa [emoji1255][emoji1255] mlisema hivi . lakini wote tunajionea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio tunajionea wanajeshi 3000 wa ukraine na zaidi wamebananishwa ima wauawe au wachukuliwe mateka huku 1000 wakiwa wamesalimu amri kitambaa cheupe juu. Hivi unajua 3000 Soldiers ni platoon ngapi!?

ProNato mnajikaza sana lkn mambo bado yanawazidia. Maji yanazidi unga.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pro Ukraine, lini na sisi Bunge letu LA Tanzania litahutubiwa na Zelensky-naona Mabunge yote ya Nchi za Ulaya na Asia amemalizia nadhani ni zamu yetu Tanzania sasa.
Mwendo wa kulialia tu. Sasa sisi tutamsaidia nini!? Anapigana na Russia alaf anataka msaada kutoka africa, msaada gani sasa sisi tutampa!? Russia kbs! Km msaada wa wazungu haumtoshi huu wa kwetu wala hata asiutegemee ni km kuchota maji kisimani uhamishie baharini hakuna cha maana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tatzo la pro[emoji635][emoji635] ni kuwa mnapenda sana kumkadilia mtu . Mara utasikia [emoji1255][emoji1255] anapigwa na [emoji635][emoji635] ndani ya saa 24 biashara inakuwa imeisha [emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hivi mmeanza oohhh taiwan hawezi shinda hata 0% kwa China [emoji23][emoji23][emoji23].
Nakukumbusha tu . Dunia hii nchi ikishakuwa na jeshi tu. Usi pende kuikadilia . tujifunze kwa vita inayoendelea [emoji1255][emoji1255][emoji1255].

Mbona nyinyi mlikua mnaikadilia Russia kuwa haina chakula haiwezi himili vita kwa week, mkaja week2 mkaja mwezi. Mkasema hana risasi kaishiwa.

Mkasema vikwazo vitamuathiri kiichumi lakini mambo yamekua viceversa sio nyie?
 
Kuna watu ma pro west wanajifanya wana hekima humu kumbe kwq kichwani hamna kitu ...ni mashabiki tu ......namaanisha kuwa hawana hoja zenye maana ...hoja nzito ambayo hata pro russia tukisoma tunatafakari namna ya kujibu hekima zilizo mbele yako ........lakini kinyume chake ...pro west wana majibu mepesi sana ......[emoji22][emoji22][emoji53][emoji53]

Wengi hawaijui historia ya Russia walikua wanajua ni ka nchi kapo ulaya tu kapokapo. Wengi wanaijulia kupitia huu uzi tuendelee kuwapa elim tusichoke. Yule mpiga nyeto simwoni sikuhizi kakimbia uzi
 
nakukumbusha tu . hata shetani anao wafuasi wengi kuliko Mungu . Ingawa watu hao wameumbwa na Mungu huyohuyo 😂😂😂😂😂.
Kuwa na wafuasi wengi si kigezo cha kuwa UKO KATIKA NJIA SAHIHI .😛😛😛😛.
Jaribu kuchunguza hata humu tu weka tangaza kuwa unagawa Bible za bure . harafu Joannah na yeye atupie hapa kuwa Leo anatafuta mwanaume wa kula nae bata. Utaona nani atapata notification nyingi huko pm.🙏🙏🙏🙏
🙆🙆🙆🙆 Jamani mifano mingine😂
 
The British company Reckitt Benckiser Group PLC has begun the process of transferring business in the Russian Federation to third parties.

It is reported that the decision was made against the backdrop of Ukrainian events. Until the end of this year, the company promises to pay salaries and bonuses to its employees in Russia.

The company manufactures and sells household chemicals and medications, including under the brands Cillit Bang, Vanish, Nurofen, Strepsils and Durex.
Galip SV
20220413_132729.png
 
Back
Top Bottom