Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23] mmepoteana .....!!!!.
Mnalaluana wenyewe kwa wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848]
The struggle is real kwa Pro Russia,nimecheka wanavyoparurana[emoji23][emoji23]
 
Kumbe wanwaonea huruma TU.
Da aisee Russia ni nchi ya kiungwana sana.
Kumbe wakitaka kuwalioua watoa maamuzi walioko Kiev wanaweza ila hawataki TU .
Da aisee.
😂😂😂 akili za pro🇷🇺🇷🇺 ni hatari sana .👊👊👊👊
 
Zaidi ya wanajeshi 1000 wa jeshi la Ukraine waliokuwa wakipambana huko Mariupol wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia yaliyowaweka 'mtu kati' kwa zaidi ya siku 40.

Hiyo ndiyo faida ya ile mbinu yakivita ya Russia ya kuuzingira miji na kuipelekea moto mkali wa makombora na mizingi...jeshi hilo liliishiwa silaha, chakula na majeruhi wakawa hawana njia ya kupata dawa (hakuna panya wala kitu chochote kilikuwa kinaingia au kutoka isipokuwa kwa idhini ya majeshi ya Russia)
View attachment 2186200View attachment 2186201
Hawa wanatakiwa wapikwe mchemsho [emoji48][emoji48][emoji48]
 
Today’s struggle in Ukraine, which is happening for a number of reasons, is [essentially] a direct war between NATO and Russia ... Russia is going to the end, and, believe me, it will win.”

We talked with political expert Bassam Al-Bunni. He stated that Russia is now opposed to American world hegemony:

“Do not forget that Russia is a self-sufficient state, capable of fully providing itself with food, of course, with the exception of delicacies, which you can do without.

At the same time, the European Union, the West as a whole, and the whole world depend on Russian grain, energy, ore, fertilizers, which directly affects the consumer basket of the population of European and other countries.

Therefore, the West cannot subjugate Russia, as it was in the 90s of the last century, because today Russia is a strong state with a strong president who has the political will to make any difficult decisions.”
Galip SV View attachment 2186215
Strrong state with a strong president
Hii fact kubwa kabisa
Leo humu kulikua nanondo sanaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom