Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unadhani alidhani... blah blah siku 4. No evidences to back up your assertions whatsoever.
You are the one who miscalculated/ing Putin Big time.

Russia doesn't need ukraine to display it's (military) capabilities. Give me (according to your opinion) top five military powers in the world. Lets see if you do believe what you say

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unapoteza muda wako kumjibu mtu ambae hata mgambo hajahudhuria,achilia mbali JKT.
Haya mambo Yako juu sana ya uelewa wa watu wengi.
Habari ya ulinzi wa mipaka na usalama wa nchi sio habari za kitoto.
Urusi wanajua wanachokifanya na Marekani anajua Urusi wameshajua.
Kuna vitu vingine hatuambiwi TU,wala hata Warusi wengi Hawa ijui, lkn Putin na watu wake wa usalama wanavijua.
 
Unapoteza muda wako kumjibu mtu ambae hata mambo hajahudhuria,achilia mbali JKT.
Haya mambo Yako juu sana ya uelewa wa watu wengi.
Habari ya ulinzi wa mipaka na usalama wa nchi sio habari za kitoto.
Urusi wanajua wanachokifanya na Marekani anajua Urusi wameshajua.
Kuna vitu vingine hatuambiwi TU,wala hata Warusi wengi Hawa ijui, lkn Putin na watu wake wa usalama wanavijua.
Yani kitu wasikujuwe Warusi wenyewe ila ukijuwe wewe mmatumbiwa wa Nyamisati?

Mbona Wabongo mna vituko sana?😄😄
 
Kingine kuna kitu huwa kinanishangaza kwa baadhi ya watu na wengine active contributors wa huu uzi.

Niwajulishe tu kua watoa data wakubwa za maswala mbali mbali ya ulimwengu kiuchumi na kivita western wameikamata sana hii sector....

Waliotoa data za kuitaja Russia as 11th world biggest Economy ni hao hao west, waliotoa data kuiweka Russia as second world most powerful nation ni hao hao western sio Russia mwenyewe kwamba anaji'mwamba'fy kwa kujitangaza... La hasha. We all knows Taifa pekee ambalo haliishi kujipigia chapuo kila kona ni lile kule jua linakozamia.

Waliobahatika kukisoma kitab flan hivi huwa kinatolewa na CIA kila mwaka, wanakiita CIA World Fact book, zipo hizo data humo ndani. Orgs zingine huwa zinacopy tu kutoka uko kwasabab na hakika hazina resources ya kupata wingi w data ka hao.

Hicho kitabu kipo huwa wanakitoa kila mwaka toka 1962 majority katika sie hap bado tupo hatujaliona jua. CIA hawa wanaokesha kufanya ujasusi wa kila kona duniani kiasi cha kujua hadi idadi ya vyama vya siasa vya nchi ya kizembe k yetu hapa TZ...

Sasa CIA ni Intelligence Agency wakiwa wamekusanya data za kila nukta za kila taifa kwenye planet wanasema vile kisha kuna vitoto vya Kenyata na Mama Samia vinakaza shingo na msuli wa kalio kuizomea Russia huku wakipigwa chapuo na mzee mmoja hapa mfungua geti la US embassy nchini...

Jaman jaman, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeeeeenhe
kutana na pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 asiyeamini vyombo vya taarifa kutoka west . ila anaamini CIA ni chombo kinachokusanya data na chenye uhakika.😂😂😂😂
 
Wameona uongo siku zote haufui dafu kwenye ukweli .....na kweli inaweka mtu huru asa imebidi tu wawe wakweli ...maana hamna namna ....
😂😂😂 kwa hiyo tunakubaliana sasa hivi taarifa kutoka vyanzo vya west ni vya uhakika ?. Sio propaganda tena? 😂😂😂😂
 
Yani kitu wasikujuwe Warusi wenyewe ila ukijuwe wewe mmatumbiwa wa Nyamisati?

Mbona Wabongo mna vituko sana?[emoji1][emoji1]
[emoji16]
FQOSYJ1XIAI7zi4.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo tunakubaliana sasa hivi taarifa kutoka vyanzo vya west ni vya uhakika ?. Sio propaganda tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bruhh ...we mwenyewe unapitia humu habari zinazotoka west zile za mwanzo na mpaka hivi juzi zilikuwa ni za propaganda tupu ....nyumbu mlivoona russia anapiga palipo vimba ndo imebidi muwe wakweli ......hata wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa west ni waongo kupindukia ila kwa sababu ya upro west ulionao huezi kwenda against nao .....
 
Mtu ambaye before vita alikuwa na wafuasi laki sita Telegram saiv ana million 2+.....
Anafuatiliwa zaidi katika vita hii as an individual.

Nachosema mie hakuna ubaya hata asipoenda na akiongea sana, yeye ni political leader. Sio general wa jeshi.
nakukumbusha tu . hata shetani anao wafuasi wengi kuliko Mungu . Ingawa watu hao wameumbwa na Mungu huyohuyo 😂😂😂😂😂.
Kuwa na wafuasi wengi si kigezo cha kuwa UKO KATIKA NJIA SAHIHI .😛😛😛😛.
Jaribu kuchunguza hata humu tu weka tangaza kuwa unagawa Bible za bure . harafu Joannah na yeye atupie hapa kuwa Leo anatafuta mwanaume wa kula nae bata. Utaona nani atapata notification nyingi huko pm.🙏🙏🙏🙏
 
nakukumbusha tu . hata shetani anao wafuasi wengi kuliko Mungu . Ingawa watu hao wameumbwa na Mungu huyohuyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuwa na wafuasi wengi si kigezo cha kuwa UKO KATIKA NJIA SAHIHI .[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14].
Jaribu kuchunguza hata humu tu weka tangaza kuwa unagawa Bible za bure . harafu Joannah na yeye atupie hapa kuwa Leo anatafuta mwanaume wa kula nae bata. Utaona nani atapata notification nyingi huko pm.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Hivi wale wachawi wa Ukraine waliokua wanataka mroga Putin wamefikia wapi?
 
Kingine kuna kitu huwa kinanishangaza kwa baadhi ya watu na wengine active contributors wa huu uzi.

Niwajulishe tu kua watoa data wakubwa za maswala mbali mbali ya ulimwengu kiuchumi na kivita western wameikamata sana hii sector....

Waliotoa data za kuitaja Russia as 11th world biggest Economy ni hao hao west, waliotoa data kuiweka Russia as second world most powerful nation ni hao hao western sio Russia mwenyewe kwamba anaji'mwamba'fy kwa kujitangaza... La hasha. We all knows Taifa pekee ambalo haliishi kujipigia chapuo kila kona ni lile kule jua linakozamia.

Waliobahatika kukisoma kitab flan hivi huwa kinatolewa na CIA kila mwaka, wanakiita CIA World Fact book, zipo hizo data humo ndani. Orgs zingine huwa zinacopy tu kutoka uko kwasabab na hakika hazina resources ya kupata wingi w data ka hao.

Hicho kitabu kipo huwa wanakitoa kila mwaka toka 1962 majority katika sie hap bado tupo hatujaliona jua. CIA hawa wanaokesha kufanya ujasusi wa kila kona duniani kiasi cha kujua hadi idadi ya vyama vya siasa vya nchi ya kizembe k yetu hapa TZ...

Sasa CIA ni Intelligence Agency wakiwa wamekusanya data za kila nukta za kila taifa kwenye planet wanasema vile kisha kuna vitoto vya Kenyata na Mama Samia vinakaza shingo na msuli wa kalio kuizomea Russia huku wakipigwa chapuo na mzee mmoja hapa mfungua geti la US embassy nchini...

Jaman jaman, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeeeeenhe
Wafanyeje sasa na Putin anawaumbua!? Inabidi wamseme tu hivyo hivyo hata kama wanaongopa. Utasikia Russia dhaifu, Putin kichaa, mara Russia msikini, Russia bully, watake ushahidi sasa uone watavyoruka na kupotezea [emoji1787]
Wengi wao ni watu wenye akili timamu na ujuzi vizuri tu sema wamechagua upande unaoshindwa na hivyo inakuwa ngumu kuusemea/kuutetea.

Jaribu kuangalia michango ya ProRussia alafu ulinganishe na ile ya ProNato humu ndani. Watu walibanwa mpaka wakakimbilia mambo ya dini/imani huko nako wakafurushwa vibaya, aibu!!

Sasa kazi yao ni kusubiria wenzao wanakujaje wajue watajibu vipi. Hawana kipya cha kuleta vikwazo vimebackfire na groundini ndio kwanza kichapo kipo sound B. Kila wanalotarajia litokee kwa urusi uhalisia unakwenda kinyume na matarajio yao.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Russia will perceive convoys delivering arms from NATO states to Ukraine legitimate targets for its military once they reach Ukrainian territory, Deputy Foreign Minister Sergey Ryabkov warned in an interview published on Wednesday.

Regular contact with the US is impossible for Russia, considering “Washington’s unabashed support for militaristic intentions of the Kiev regime, the pouring of modern weapons” into the country by NATO members, the diplomat said. Moscow’s goal now is to make it abundantly clear for the US and its allies that Russia will use harsh methods in response to attempts to hurt its military in Ukraine.

“We are warning that American-NATO transports carrying weapons across the Ukrainian territory are considered legitimate military targets,” he stressed
===
rt.com
 
Bruhh ...we mwenyewe unapitia humu habari zinazotoka west zile za mwanzo na mpaka hivi juzi zilikuwa ni za propaganda tupu ....nyumbu mlivoona russia anapiga palipo vimba ndo imebidi muwe wakweli ......hata wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa west ni waongo kupindukia ila kwa sababu ya upro west ulionao huezi kwenda against nao .....
😂😂😂 uzuri akili yenu pro🇷🇺🇷🇺 wa humu naijua 😂😂😂. Nakupa siku 2 ntakuja kukukumbusha 🏃🏃🏃🏃🏃
 
Kingine kuna kitu huwa kinanishangaza kwa baadhi ya watu na wengine active contributors wa huu uzi.

Niwajulishe tu kua watoa data wakubwa za maswala mbali mbali ya ulimwengu kiuchumi na kivita western wameikamata sana hii sector....

Waliotoa data za kuitaja Russia as 11th world biggest Economy ni hao hao west, waliotoa data kuiweka Russia as second world most powerful nation ni hao hao western sio Russia mwenyewe kwamba anaji'mwamba'fy kwa kujitangaza... La hasha. We all knows Taifa pekee ambalo haliishi kujipigia chapuo kila kona ni lile kule jua linakozamia.

Waliobahatika kukisoma kitab flan hivi huwa kinatolewa na CIA kila mwaka, wanakiita CIA World Fact book, zipo hizo data humo ndani. Orgs zingine huwa zinacopy tu kutoka uko kwasabab na hakika hazina resources ya kupata wingi w data ka hao.

Hicho kitabu kipo huwa wanakitoa kila mwaka toka 1962 majority katika sie hap bado tupo hatujaliona jua. CIA hawa wanaokesha kufanya ujasusi wa kila kona duniani kiasi cha kujua hadi idadi ya vyama vya siasa vya nchi ya kizembe k yetu hapa TZ...

Sasa CIA ni Intelligence Agency wakiwa wamekusanya data za kila nukta za kila taifa kwenye planet wanasema vile kisha kuna vitoto vya Kenyata na Mama Samia vinakaza shingo na msuli wa kalio kuizomea Russia huku wakipigwa chapuo na mzee mmoja hapa mfungua geti la US embassy nchini...

Jaman jaman, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeeeeenhe
Je unaamini kweli kuna njama ya CIA kupunguza hadhi ya Urusi?? Kwa elimu yako tutumie namba gani?
 
Bruhh ...we mwenyewe unapitia humu habari zinazotoka west zile za mwanzo na mpaka hivi juzi zilikuwa ni za propaganda tupu ....nyumbu mlivoona russia anapiga palipo vimba ndo imebidi muwe wakweli ......hata wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa west ni waongo kupindukia ila kwa sababu ya upro west ulionao huezi kwenda against nao .....
Kwahio sasa Western media sio biased tena tulete habari zao.
 
nakukumbusha tu . hata shetani anao wafuasi wengi kuliko Mungu . Ingawa watu hao wameumbwa na Mungu huyohuyo 😂😂😂😂😂.
Kuwa na wafuasi wengi si kigezo cha kuwa UKO KATIKA NJIA SAHIHI .😛😛😛😛.
Jaribu kuchunguza hata humu tu weka tangaza kuwa unagawa Bible za bure . harafu Joannah na yeye atupie hapa kuwa Leo anatafuta mwanaume wa kula nae bata. Utaona nani atapata notification nyingi huko pm.🙏🙏🙏🙏
Yote uliyosema hayabadilishi nilichoandika....
Maana sikuwa nazungumzia katika Angle ya usahihi na kukosea.
 
Ndio maana tunasema watoto wa Putin mmechanganyikiwa, ikiwafaa mnasema urussi inapigana na NATO isipowafaa mnasema NATO ijiingize kwa vita. Mbona hamueleweki chagueni moja??? Why speak from both sides of your mouth.

Alafu inasikitisha ikiwa mtu unayejifanya mchambuzi hujui kutofautisha fake na Genuine news. Haihitaji hata sekunde kujua hicho kibandiko cha Kim ni Fake.

Siku utajua kutofautisha kati ya fake na genuine news ndo ntakuchukulia serious otherwise wallow in your stupidity
Hamna aliyechanganyikiwa akaweza kuingia jf tena straight kwenye huu uzi. Hizo ligha zenu ProNato tumezizoea ni uthibitishi mmezidiwa.

  • NATO wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali hivyo ni sahihi kusema Russia anapigana na Ukr na NATO.
  • NATO hawajaingiza rasmi jeshi lao kwenye vita hivi hivyo ni sahihi pia kusema 'NATO ijiingize vitani'

Hakuna mgongano hapo 'contradiction'.
Hiyo ya mwisho ilikuwa ni meme. Utakuwa unafeli kama meme unaitafsiri km chanzo cha habari

Back
Top Bottom