Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unanionea wivu mie kuwa Jamii forums?! Hii forum ingekuwa ya Babu yako tungepata tabu sana. Lakini si tulielewana kwamba BBC ni chombo cha kipropaganda.
Naona umegonga penyewe hadi kashindwa kuvumilia,anatamani hata angekuwa ndiyo Maxence mwenyewe ili akufurushe.Huyu huwa anapenda kusema wengine tunaongozwa na 'emotions' naona yeye hapa ndiyo kaonyesha mfano halisi wa kile anapenda kuwaambia wengine
 
Kama lugha ya malkia ni tatizo mseme... Sasa hizo silaha zinazopelekwa Kila siku zinaishia wapi!!?? Waliopo front wanaojitolea kupigania Ukraine wanakwambia silaha hazitoshi kuzuia "further advancement" ya Urusi....
 

Attachments

  • VID_20220413_152424_641.mp4
    6.6 MB
Nasikia raisi wenu mpendwa kaanza kuwakamata raia wa nchi yake wenye asili ya Urusi ili kuishinikiza Urusi iwaachie wanajeshi wake walio tekwa huko maliopol.
Wakati huko nyuma mlituamisha ya kwamba Ukrain ime wateka wana jeshi wengi wa Urusi sasa kama ina wanajeshi ilio wateka kwanini wasiende kufanya mabadilishano wapewe wanajeshi wao?
Mpka tumemjua Nani murder wa raia anajionesha mwenyewe
 


Llieutenant Colonel Of The Armed Forces Of Ukraine Rostislav Lomtev Surrendered

1649853294914.png
 
Kwanini huyu mwamba kutokuwepo eneo la vita ni habari?
Toka lini kiongozi ambaye ni level ya raisi, anakuwepo uwanja wa vita ( tena ambayo haipo nyumbani kwake ni nchi nyingine).
Nilichokiona mimi ni....
Ana mvuto binafsi, ni celebrity hachoshi kumfuatilia.
Chochote kitakachowapa faraja waukraine wa uyole wanakileta hapa. Waelewe tu hvyohvyo

Wakati huu ambao maelfu ya wanajeshi wa ukr wapo na kitanzi shingoni pengine huruma ya bwana Putin inaweza kuwaokoa huko mariupol.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hujatuleta kichekesho kikuu kutoka tukio hili. Lukashenka anayesimama kando la Putin alieleza "mauaji ya Bucha yalitekelezwa na kikosi maalum cha Uingereza".
Maelezo hayo ni mabaya kiasi hata washabiki wa Putin hawakujaribu kutuuzia. Kumbe, kwanza uwongo kabisa, halafu ndio maiti, lakini zililetwa na Ukraine na kumwagwa barabarani kabla ya kuruhusu wanahabri kuchukua picha, sasa hapa Ukraine ni Waingereza (walifanya nini? Kuua Waukraine? Kumwaga maiti? kuongea Kirusi ili kudanganya mashahidi wengi???)
 
Kwanini huyu mwamba kutokuwepo eneo la vita ni habari?
Toka lini kiongozi ambaye ni level ya raisi, anakuwepo uwanja wa vita ( tena ambayo haipo nyumbani kwake ni nchi nyingine).
Nilichokiona mimi ni....
Ana mvuto binafsi, ni celebrity hachoshi kumfuatilia.
Naamini kabisa WEWE huchoki kumfuatilia unavutwa naye.
Habari si habari kwa sababu alibaki nyumbani.
Habari ni habari kwa sababu huyu "celebrity" anadai kwamba alifika Ukraine mara kadhaa akijisifu hana hofu atamaliza Ukraine chapchap...
Na sasa kuna ushuhuda yeye ni mlaghai tu, anajivuna lakini hafanyi kitu
"talks the talk, lakini don't walk the walk!"
 
Zaidi ya wanajeshi 1000 wa jeshi la Ukraine waliokuwa wakipambana huko Mariupol wamejisalimisha kwa majeshi ya Russia yaliyowaweka 'mtu kati' kwa zaidi ya siku 40.

Hiyo ndiyo faida ya ile mbinu yakivita ya Russia ya kuuzingira miji na kuipelekea moto mkali wa makombora na mizingi...jeshi hilo liliishiwa silaha, chakula na majeruhi wakawa hawana njia ya kupata dawa (hakuna panya wala kitu chochote kilikuwa kinaingia au kutoka isipokuwa kwa idhini ya majeshi ya Russia)
SmartSelect_20220413-155831_Chrome.jpg
Screenshot_20220413-155913_Chrome.jpg
 
Among the Ukrainian marines who surrendered in Mariupol were the British.

This was reported to RT by a source in law enforcement agencies. 28-year-old native of Nottingham Eslyn Aidin Daniel John commanded a mortar battery. He is badly wounded.

Another British citizen, Pinner Shaun, born in 1973, was detained on the morning of April 12 when he was trying to break through the encirclement.

In total, among the 1023 soldiers who surrendered, 47 were women and 976 were men. Of these, 151 people were injured, including 12 seriously.

Russian troops were negotiating with the militants during the day. They were assisted in this by the military of the Armed Forces of Ukraine, who had surrendered earlier, the source added. Now the prisoners are placed on the territory of a nearby women's correctional colony, as well as in a former vegetable warehouse.
Galip SV
20220413_132729.png
 
The Investigative Committee will carefully study the personal files of the Ukrainian security forces found in the Kherson Children's Hospital.

This was announced by the department. It is noted that among these people may be involved in crimes against the civilian population of Donbass and the Russian military
Galip SV
20220413_132729.png
 
Sipendi sana kugombana na a total stranger.Kwa kukutendea haki naomba ukae kwa Ignore list.
😂😂😂😂
Kwanini tugombane sasa mkongwe? Mbona sijakutukana wala sijatumia lugha "mbaya" dhidi yako?
Sikutegemea kama ProNATO-US anaweza kuwa "soft" kiasi hiki.
Eti a total stranger!
😂😂😂🤭
 
Today’s struggle in Ukraine, which is happening for a number of reasons, is [essentially] a direct war between NATO and Russia ... Russia is going to the end, and, believe me, it will win.”

We talked with political expert Bassam Al-Bunni. He stated that Russia is now opposed to American world hegemony:

“Do not forget that Russia is a self-sufficient state, capable of fully providing itself with food, of course, with the exception of delicacies, which you can do without.

At the same time, the European Union, the West as a whole, and the whole world depend on Russian grain, energy, ore, fertilizers, which directly affects the consumer basket of the population of European and other countries.

Therefore, the West cannot subjugate Russia, as it was in the 90s of the last century, because today Russia is a strong state with a strong president who has the political will to make any difficult decisions.”
Galip SV
20220413_132729.png
 
Back
Top Bottom