Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Screenshot_20220413-135922.jpg

Watu wamefukua kaburi la 30/7/20 ..lakini Kuna wehu wanakwambia marekani hakuna inflation na wapo Kisamvule wanalima mihogo.
 
Tunachojua sisi Urusi katandikwa na msafara wake wa vifaru wa kilometa 64. Hizi zingine ni propaganda za BBC, au mnasemaje Warusi wa Ikwiriri?!


Screenshot_2022-04-13-14-00-58-74.jpg
 
Urussi ni nchi maskini tena maskini kweli mbele ya US ki uchumi,hili nalo unataka tubishane?
Halafu tangu lini ukaamini vyombo vya Magharibi,wewe si kila siku hapa unasema haviaminiki.Unapaswa kuwa na msimamo either ukubaliane na kila habari na si kukimbilia kuokoteza ki habari kinachokufurahisha tu na kuja kunibandikia hapa,na kwa mujibu wa msimamo wako unaoeleweka hii nayo ni Propaganda.Leta habari kutoka 'RT'[emoji846]
Acha haraka dada twende pole pole sasa iweje nchi tajiri iathiriwe na nchi masikini?

Kila mtu duniani akiwemo ww na mm tupo tuna ugulia maumivu ya Urusi kuwa vitani kwa hiyo acha kubeza umuhimu wa Urusi ndani ya dunia yetu.

Kwa mujibu wa hoja yako ni kwamba Mo na Baharesa ni Masikini kisa wanazidiwa utajiri na Dangote sio? Au Dangote ni maskini kisa anazidiwa utajiri na Billiget? Kama unamtizamo huo basi kwenye akili yako utakuwa na tatizo.

Yaani nchi kama Uturuki yenye GDP ya bili on 720$ ina itwa taifa tajiri ila Urusi yenye zaidi GDP ya tirion 1.7$ ni taifa masikini?

Kuhusu vyombo vya habari vyenyewe vime mnukuu Baiden na havijajitungia maana haviwezi kumzushia mmiliki wake.
 
Tunachojua sisi Urusi katandikwa na msafara wake wa vifaru wa kilometa 64. Hizi zingine ni propaganda za BBC, au mnasemaje Warusi wa Ikwiriri?!


View attachment 2186083
Duh.....nadhani hupaswi kuwemo humu JF.....nitawasilisha hoja kwa moderator kwa kuleta uongo wa makusudi...
Hapa JF hatupaswi kusambaza uongo kwa makusudi...
Tunachojua wengi wetu ni Askari wa Ukraine ndiyo waliojisalimisha na siyo wa Russia
 
Nakuta hii kuhusu shujaa Kadyrov (kwa washabiki wake hapa):
View attachment 2186018
Is it true that the Chechen warlord Ramzan Kadyrov is in Ukraine right now?
It’s a funny tale. The tale of Ramzan Kadyrov, supposedly a badass and dangerous warlord. He knows how to talk the talk, sure. But lately he’s been a little… hesitant, to walk the walk. First he claimed to be “near Kiev” — he wasn’t, someone spotted him in his native lands.

Next he claimed that he “really, really is in Ukraine”. Won’t you believe him? So Kadyrov releases a picture. It’s him, in Ukraine. Ah, evidence! Sweet evidence, at last. Now no one can doubt Mr. Kadyrov isn’t secretly terrified of Ukrainian snipers to the point of faking his presence in Ukraine…

Only he did fake it. Because there are no Rosneft gas stations in Ukraine. He’s praying on the ground, supposedly for the victory of his troops… but he’s nowhere near the war zone. He’s safe and sound at home. A TikTok hero, trying and failing to score Cool Guy points online.
Kwanini huyu mwamba kutokuwepo eneo la vita ni habari?
Toka lini kiongozi ambaye ni level ya raisi, anakuwepo uwanja wa vita ( tena ambayo haipo nyumbani kwake ni nchi nyingine).
Nilichokiona mimi ni....
Ana mvuto binafsi, ni celebrity hachoshi kumfuatilia.
 
Nasubiri kuona wanajeshi, mercenaries na vigogo wa jeshi kutoka west waliokua trapped kwenye mahandaki mariupol wataokolewaje. Maana hua nasikiaga ushujaa wa wa makomandoo wa SAS toka UK , au ubora wa makomandoo wa US.

Ikiwa kweli Nato ni bora watawaokoa hao watu, maana nahisi ili limewachanganya sana . Wapiganaji 3000 sio mchezo! Wakifa au kukamatwa kwa pamoja lazima ushushe morali ya wapiganaji.

Watu waliambia Russia kwenye vita ni habari nyingine, wakabisha... Hakuna mtu alisumbua kama Hitler. Alipigwa mpaka Germany iligawanyika. Sasa hawa akina poland, france wataweza kweli? Au ndio kumtoa sadaka Ukraine??
Spetznaz hawachezi mbali na eneo la tukio.
Unajua huu umekua ni kama mtego uliowansa wenyewe.
Sasa Iko hivi.
Waliomo wamo,na watakao kuja kuwaokoa nao wanasubiriwa.
Inawwza kuwa ni mavuno makubwa mno ya askari wa NATO.
Hao SAS na navy seal wao wanaweza kuokoa watu wao Pakistan,Yemen na Libya TU.
Lakini sio kwa moamba wa Moscow. "Russian Spetsnaz"
 
Duh.....nadhani hupaswi kuwemo humu JF.....nitawasilisha hoja kwa moderator kwa kuleta uongo wa makusudi...
Hapa JF hatupaswi kusambaza uongo kwa makusudi...
Unanionea wivu mie kuwa Jamii forums?! Hii forum ingekuwa ya Babu yako tungepata tabu sana. Lakini si tulielewana kwamba BBC ni chombo cha kipropaganda.
 
Unanionea wivu mie kuwa Jamii forums?! Hii forum ingekuwa ya Babu yako tungepata tabu sana. Lakini si tulielewana kwamba BBC ni chombo cha kipropaganda.
Hoja yangu ni namna unavyosambaza uongo kwa makusudi...ujue wako wengi humu ambao hutegemea JF itoe habari za ukweli na siyo za uzushi...JF is a serious forum na siyo forum ya ujanja ujanja...JF ni shule lakini wengine mnataka kuigeuza JF kuwa kama kijiwe Cha wanywa kahawa kwa kusambaza uongo na kuleta mzaha kwenye masuala ya msingi...
 
Acha haraka dada twende pole pole sasa iweje nchi tajiri iathiriwe na nchi masikini?

Kila mtu duniani akiwemo ww na mm tupo tuna ugulia maumivu ya Urusi kuwa vitani kwa hiyo acha kubeza umuhimu wa Urusi ndani ya dunia yetu.

Kwa mujibu wa hoja yako ni kwamba Mo na Baharesa ni Masikini kisa wanazidiwa utajiri na Dangote sio? Au Dangote ni maskini kisa anazidiwa utajiri na Billiget? Kama unamtizamo huo basi kwenye akili yako utakuwa na tatizo.

Yaani nchi kama Uturuki yenye GDP ya bili on 720$ ina itwa taifa tajiri ila Urusi yenye zaidi GDP ya tirion 1.7$ ni taifa masikini?

Kuhusu vyombo vya habari vyenyewe vime mnukuu Baiden na havijajitungia maana haviwezi kumzushia mmiliki wake.
Hapa umepewa factor moja tu,tunalinganisha Russia Vs US kwa nguvu za ki uchumi,unataka nitumie lugha gani sasa ili uelewe? Ukipewa swali linalouliza kati ya 30 na 100 ipi ni number kubwa? Jibu lako ni wazi litakuwa 100 ni Kubwa,huwezi kusema 100 ni kubwa lakini hata na 30 na yenyewe ni kubwa kwakuwa iko juu ya 20.Kwa muktadha huo,Russia ana uchumi mdogo mbele ya US (nalazimika kutumia hilo neno maana naona neno 'maskini' linakukwaza [emoji846]).Russia uchumi wake ashindane na Jimbo la Califonia.

Kuhusu hivyo vyombo vya habari siku zote vinanukuu wahusika lakini huwa unarukia kuviita ni Propaganda kwakuwa tu wakati huo vinakuwa vimeleta habari usiyotaka kuisikia,punguza kuwa bias kwenye kurefer vyombo vya habari vinginevyo endelea kutuletea habari za RT unazoziamini kwa 100%[emoji846]
 
Back
Top Bottom