NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Mkuu Kwani kuwa mwalimu wa primary ni kosa?Heshima haiuzwi ni free, mwalimu mzima nilitegemea utakua na akili kumbe ni zero brain, sasa unafundisha nini watoto wetu huko shuleni?
Hivi kweli huyu mwalimu ndo anatufundishia watoto wetu. Ujanja wote kumbe mwalimu wa Primary.
Uongo gani niliosambaza?Hoja yangu ni namna unavyosambaza uongo kwa makusudi...ujue wako wengi humu ambao hutegemea JF itoe habari za ukweli na siyo za uzushi...JF is a serious forum na siyo forum ya ujanja ujanja...JF ni shule lakini wengine mnataka kuigeuza JF kuwa kama kijiwe Cha wanywa kahawa kwa kusambaza uongo na kuleta mzaha kwenye masuala ya msingi...
Urusi wanajitegemea na hawana shida na mtu. Shida hawa NATO hawajiamini kila siku kuzua migogoro.
MADE IN RUSSIA
View attachment 2185878
View attachment 2185880
View attachment 2185883