Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa kageuza huu mjadala kuwa full time job kwake,kumbe wengine tunafanya hii at our leisure time baada ya kuweka ratiba sawa za siku nzima.
Ni mbaya sababu ukilichukulia too serious utajikuta analichukulia too personal kwa watu wenye mtazamo tofauti na unayotaka kusikia halafu litazaa hasira za hapa na pale mwishowe lugha zisizofaa.
 
Putin mpka sasaiv haelewi atatokaje Ukraine kwa Aibu alio ipata. vita imemshinda sasa amebadilisha misimamo wake anasema lengo la kuivamia Ukraine ni kuwalinda Raia wenye hasiri ya kirusi ngoma bado mbichi hii View attachment 2185941

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uongo

Putin amesema "Operation ya kijeshi utakamilisha malengo yake yote, malengo ambayo wamagharibi (west) mpaka sasa hawajui exactly ni yepi"

Hasiri [emoji777]
Asili[emoji736]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunaendelea kutuma mzigo Ukraine na Urusi hatufanyi chochote kileView attachment 2185947View attachment 2185948View attachment 2185949
Ile S300 iliyotoka Slovakia ilipigwa kabla hata haijafanya lolote. Imebaki majivu!

Kupeleka silaha tu sio suluhisho maana Ukraine bado wanazidiwa pelekeni na wanajeshi. Silaha zenyewe mnazopeleka ni nyepesi. Kwa nn US asipeleke F22 Raptors au makombora ya Tomhawk au helkopta za black hawk au THAAD ad au Patriot ad system. Visilaha mnavyopeleka ndio vitazuia mashambulizi ya urusi kweli!? Mtu anapigwa cruise, kalibr, Hypersonic missiles we unamoa jevelin ya itamsaidia nn!?

Kuna wanajeshi 3000 wamekwama azovstal hawana chakula wala ammunition nendeni mkawakomboe. Wakichukuliwa mateka itaathiri morali ya jeshi lenu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
💢Elon Musk is establishing a starlink connection over Azovstal plant so that trapped NATO command can upload their consciousnesses into Zuckerberg's Metaverse mainframe where 72 AI virgin boys await.

They will be rescued after all!

Wale ni WA kuflashiwa tu hakuna haja ya risasi ni kumwaga maji wacheze kama kambale watatoka tu mmoja mmoja.
 
Ile S300 iliyotoka Slovakia ilipigwa kabla hata haijafanya lolote. Imebaki majivu!

Kupeleka silaha tu sio suluhisho maana Ukraine bado wanazidiwa pelekeni na wanajeshi. Silaha zenyewe mnazopeleka ni nyepesi. Kwa nn US asipeleke F22 Raptors au makombora ya Tomhawk au helkopta za black hawk au THAAD ad au Patriot ad system. Visilaha mnavyopeleka ndio vitazuia mashambulizi ya urusi kweli!? Mtu anapigwa cruise, kalibr, Hypersonic missiles we unamoa jevelin ya itamsaidia nn!?

Kuna wanajeshi 3000 wamekwama azovstal hawana chakula wala ammunition nendeni mkawakomboe. Wakichukuliwa mateka itaathiri morali ya jeshi lenu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uthibitisho? Hata wa picha
 
Ila russia wanatakiwa wajitahidi sana kwenye upande MEDIA yaani wawekeze huko ....vyombo vya habari vina mchango mkubwa sana kuwa famous wamarekani na ulaya hasa kwenye matangazo ya bidhaa zao kama vile zile AIR BUS NA BOEING na biashara zingine kama military EQUIP ....hiyo sekta waingalie upya ...ili waweze kuvi brand vitu vyao ...kama wanavo fanya west na ulaya ..
Sio rahis hata kama ukitaka... Kwenye biashara kuna u-Monopolisim mwingi sana. Start Up zinakufa ama kununuliwa na wakubwa walioko sokoni.

Na ambacho wakijua nikukumbushe au kama hukijui bs nikufahamishe, hizi media hasa kubwa zaidi ya 90% ziko owned na kikundi flan ambacho naeza sema kipo nyuma ya matukio mbali mbali duniani.

Katika agenda yao Media, ni Weapon moja ya muhim katika kucontrol mind za watu. That's why unasikia nn wanataka usikie na hutosikia kile wasichotaka usikie.

Usiione hii Monopoly ya social media Kama FB, Twitter, YouTube na Vyombo vy habari vikubwa uvisikiavyo vipo hapo kwasabab vinaweza no... Kuna alternative nyingi zipo tu ila huwa zinaishia kununuliwa ama kuuliwa wasiendelee...

Leo anzisha ata business yoyote itakayoonekana kuleta competition sokoni. Chap tu utanunuliwa ukizingua utanyanganywa.

Instagram na WhatsApp hazikuwa mali ya Facebook ama Meta Platforms mwanzo... Zote hizo zimenunuliwa. YouTube hii hii unayokesha nayo haikuanzishwa na Google bali imenunuliwa kutoka kwa Founders nje kabisa ya Google.

That's how most Giant Companies ziko hapo zilipo... Ni ka game la nyoka... Kadri unavozidi kula ndivo unavozidi kurefuka. Dunia ina mengi nyie acheni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Na ukijikuta Mtakakatifu utaendelea kubaki nyuma tu. Mpaka uwe na roho chafu ndo utatoboa.
 
Do not believe any story from any Western Mainstream Media outlet,it is all fabrication.Listen to a CIA boss admiting this truth.Very disturbing indeed.
By the way,do not forget this👇,also showing how the Mainstream Media lies to the World citizenry.




This 👇guy was a CIA assert in East and Central Africa when Patrice Lumumba was murdered,so he was obviously involved in his murder.
 

Attachments

  • VID-20220413-WA0003.mp4
    4 MB
Unajifanya kipofu eti ...na maskio umeziba na gunzi hutaki kusikia wala kuona ......broh pita kushoto tu ....sio kila kitu mpaka tukutafuniee na kumeza huwezi .......[emoji25][emoji25][emoji25]
Sijaelewa....
 
Huyo hapo superpower wenu wa dunia anailaumu Urusi kwa kuyafanya maisha ya wamarekani kuwa magumu.

Alafu kuna dada mmoja ana itwa Nyamizi kutoka nchi ambayo raia wake wanaishi chini ya $moja ana kwambia Urusi ni nchi maskini na Marekani ni kila kitu ndani ya dunia.View attachment 2185954
Fox wahuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wameipost picha yenye kinyesi cha yule ndege aliyefanya yake kwenye suit ya Dementia Joe...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]poa asante Dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Heshima haiuzwi ni free, mwalimu mzima nilitegemea utakua na akili kumbe ni zero brain, sasa unafundisha nini watoto wetu huko shuleni?

Hivi kweli huyu mwalimu ndo anatufundishia watoto wetu. Ujanja wote kumbe mwalimu wa Primary.
 
SmartSelect_20220413-123006_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom