Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasubiri kuona wanajeshi, mercenaries na vigogo wa jeshi kutoka west waliokua trapped kwenye mahandaki mariupol wataokolewaje. Maana hua nasikiaga ushujaa wa wa makomandoo wa SAS toka UK , au ubora wa makomandoo wa US.

Ikiwa kweli Nato ni bora watawaokoa hao watu, maana nahisi ili limewachanganya sana . Wapiganaji 3000 sio mchezo! Wakifa au kukamatwa kwa pamoja lazima ushushe morali ya wapiganaji.

Watu waliambia Russia kwenye vita ni habari nyingine, wakabisha... Hakuna mtu alisumbua kama Hitler. Alipigwa mpaka Germany iligawanyika. Sasa hawa akina poland, france wataweza kweli? Au ndio kumtoa sadaka Ukraine??
Ushujaa wao Hollywood tu mzee nyuma ya Camera na editing za kutosha... We asikwambie mtu ile mitutu kwenye uhalisia inatisha Mzee...

Ukiusikia tu kwanza ule muungurumo wa yale madege angani unahisi utumbo unakunjana.
 
Njaa imewatoa kwenye mapango Wanajeshi wa Ukraine baada kutopata supply yoyote ya chakula vinywaji na silaha. hatimaye wamenyoosha mikono huko Maripoul wapelekwa mikono juu mwendo wa mateka ....[emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220413-130320.jpg
Screenshot_20220413-130329.jpg
Screenshot_20220413-130349.jpg
Screenshot_20220413-130359.jpg
Screenshot_20220413-130414.jpg
Screenshot_20220413-130447.jpg
 
bibingi kwa upande wangu hii vita haiitaji akili kubwa kuifanyia analysis. nahitaji matokeo tu ambayo ni Urusi kutimiza malengo yake au Ukraine kumzuia Urusi. Hizi bla bla za hapa katikati ni kwa ajili ya kufurahisha genge tu esp ninapohitaji kupumzisha akili sababu ya aina ya kazi ninazofanya.

Unayajua malengo ya Russia kwenye hii operation? Tuanzie hapa usikute hujui hat plan za Russia
 
Mmhh ....bwana mkubwa em rudia kufikir upya hivi russia akidondosha mizigo mitano ya maana hapo kama vile ISKANDER M ....bado patabakia hivo ivo ....eti mkuu
Possible lakini Russia sicho anachotaka.....
Inabidi uzingatie namna Russia anaiterm Ukraine, Ni same russians walijenga.....huwezi bomoa investment ya hivyo kwa siku moja tu ili uzipate batallions mbili au tatu....
Wakati unaweza tumia siege tactic na ikalipa.
 
The Netherlands has frozen up to €600 million in Russian assets, Stef Blok, coordinator for the implementation of sanctions against Russia, said.
Galip SV
20220411_223049.png
 
The Russian Embassy sent a note to the Italian Foreign Ministry demanding that additional measures be taken to protect Russian missions abroad, our ambassador said.

Earlier in Rome, they attacked the Russian embassy: the front door was doused with paint.
Galip SV
20220411_223049.png
 
Maria @MariaVladimirovnaZakharova Zakharova commented on Biden's words that "Putin raised gas prices in the US":

“You ask how Putin can increase the price of gasoline in the US. Not directly, of course. Otherwise, he would have done it long ago. Immediately after the announcement of RT in America as a foreign agent, for example.

But indirectly and having prepared in advance, he could. The plan was not complicated, but it required patience: in 2020, Moscow recognized Biden's victory in the elections, thus dooming the United States to various sufferings, including rising gasoline prices. It's only the beginning".
Galip SV
20220411_223049.png
 
“We do not want to turn into raiders, as our opponents behave. We must be civilized."

Matvienko called the German bill on the nationalization of Russian property unacceptable.

At the same time, the speaker of the Federation Council noted that Russians should be protected in the event that foreign companies leave the country:

“We have to protect jobs, protect our people, keep our businesses going. The instruments of the government must be adopted intelligible and understandable: if you stay like this, if you don’t stay, it’s different.”
Galip SV
20220411_223049.png
 
Anti-Russian sanctions hit Western countries and opened up new opportunities for Russia, Putin said:

“The refusal of a number of countries from normal cooperation, including from Russian energy resources, has already hit millions of Europeans.

Provoked a real energy crisis, reflected in the United States. Prices are rising everywhere - and inflation is going through the roof just for these countries, it is unprecedented [character].

Of course, we also face problems, but alternative opportunities open up for us.”
Galip SV
20220411_223049.png
 
We talked about anti-Russian sanctions with Washington-based political scientist Atef Abdel Javad:

“The Europeans, as we know, naturally refuse or cannot declare a complete embargo on energy supplies from Russia. This is due to their desire to avoid possible losses. They want to do it gradually, by 2024.

Western countries, in particular the United States, do not want to finally close the doors to the Russian economy, perhaps so that Russia has an incentive to end the war and start the political process.”
Galip SV
20220413_132729.png
 
Back
Top Bottom