Duhh ...ni kweli nimekuelewa .....na bila kuuvaa ushetani kama wafanyavo hawa majambazi hutoboi....ni kweli kabisa ......ila nilichojifunza kwenye huu mgogro wa RF NA UKRN ...media zina nguvu sana kama ulivosema ....na zikiamua kusimamia uongo zinasimamia kweli kweli ...
Yes yes, na hiyo Monopoly kuja kuisha si leo wala kesho labda Unipolar ya US ife... kwasabab wana Back up kwenye serikal yao... Angalia Competitors wanavopigwa pin kwa ban zisizo na mashiko....
Huawei hapo alim'overtake Apple kua wa pili katika Marketshare ya Mauzo ya Smartphones duniani na ndie aliyekuwa mbele kwenye mbio za 5G Technology alichofanywa nazan wakikumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kisingizio ikawa ni madai kua kampuni lina mahusiano na Chinese Communist Party CCP...
Tiktok nae hakukawia akaingizwa kwenye blacklist ya Entity ambazo wanadai zinatishia usalama wao kiasi kwamba wakaanza kuiforce iuze biashara yake kwa soko la USA...
Ogopa kitu kinaitwa "Rumours" zinaenea kama moto wa petrol, nakuzikanusha sasa ndo shughul.
Kuna kiumbe mmoja aliwahi sema, Ukimiliki Food Supply unaweza kucontrol watu, Ukimiliki Oil na Nishati unaweza Control Bara, ila ukimiliki fedha unacontrol dunia.
That's how tunaendeshwa kila kona na hizi punguani ambazo zimekamata nyanja nyingi kwenye ulimwengu.
Ushawah kujiuliza why most of billionaires ndani ya US hawana asili ya hapo Marekani...
Mfano
Elon Musk wazazi wake ni mmoja kutoka South Africa na mwingine Canada ila sasa ni US citizen.
Jeff Bezo kazaliwa mexico wazaz wake wana asili ya Denmark nae sasa ni US citizen.
Sergey Brin, Co founder wa Google na 7th Richest person on the planet ni mzaliwa na ana asili ya Russia ila sa hvi ni Mmarekani... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wengineo wengi tu na hapo hujaitaja list ya wayahudi... Kama Marc Zuckerberg wa FB, Larry Ellison wa Oracle, Larry Page huyu Co-Founder mwingine wa Google, Michael Bloomberg mwenyewe na utitiri mwingine kibao...
Unaeza kuotea kwanini?
Ndio dunia yetu lakini [emoji119]