Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Objective za Urusi zipo kwenye media karibu zote duniani, ni kwamba nimeona si sahihi kuzungumza hizo hoja na wewe.
Sidhani hata kama atakuelewa hapa,yeye alitaka muanze battle ya maneno ili aanze kutiririka ile lugha aliyozoea iliyojaa kejeli na maneno ya kuudhi.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
.
Screenshot_20220413-181017.jpg
Screenshot_20220413-181025.jpg
 
Mtu ambaye before vita alikuwa na wafuasi laki sita Telegram saiv ana million 2+.....
Anafuatiliwa zaidi katika vita hii as an individual.

Nachosema mie hakuna ubaya hata asipoenda na akiongea sana, yeye ni political leader. Sio general wa jeshi.
Kwa hiyo akiwa mwanasiasa ni sawa anadanganya? Eti yuko na wanajeshi wake jatarini ilhali anatulia nyumbani ? Sawa tu, siasa yako.
 
Ukweli Putin miscalculated big kuhusu Ukraine.Alidhani bussiness as usual ,anateke kyiv ndani siku 4, anisimaka kibaraka wake and arrogantly declares to world the greatness of Russia. Not to be- war has been dragging on for six weeks , heavy loss(human and equipment) kwa Russia ,end unpredictable and no where in sight. Worse indictment for war crime looming large.
Unadhani alidhani... blah blah siku 4. No evidences to back up your assertions whatsoever.
You are the one who miscalculated/ing Putin Big time.

Russia doesn't need ukraine to display it's (military) capabilities. Give me (according to your opinion) top five military powers in the world. Lets see if you do believe what you say

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
BREAKING NEWS:

Deputy FM: Russia will view US, NATO vehicles transporting arms in Ukraine as legitimate targets.
If they are serious kwanini hawazilipui zikiwa NATO territories wanangoja mpaka ziingie Ukraine.

Natamani sana Putin akosee arushe hata jiwe Poland hapo ndo utakua mwisho wa taifa linaloitwa Russia.
 
Kingine kuna kitu huwa kinanishangaza kwa baadhi ya watu na wengine active contributors wa huu uzi.

Niwajulishe tu kua watoa data wakubwa za maswala mbali mbali ya ulimwengu kiuchumi na kivita western wameikamata sana hii sector....

Waliotoa data za kuitaja Russia as 11th world biggest Economy ni hao hao west, waliotoa data kuiweka Russia as second world most powerful nation ni hao hao western sio Russia mwenyewe kwamba anaji'mwamba'fy kwa kujitangaza... La hasha. We all knows Taifa pekee ambalo haliishi kujipigia chapuo kila kona ni lile kule jua linakozamia.

Waliobahatika kukisoma kitab flan hivi huwa kinatolewa na CIA kila mwaka, wanakiita CIA World Fact book, zipo hizo data humo ndani. Orgs zingine huwa zinacopy tu kutoka uko kwasabab na hakika hazina resources ya kupata wingi w data ka hao.

Hicho kitabu kipo huwa wanakitoa kila mwaka toka 1962 majority katika sie hap bado tupo hatujaliona jua. CIA hawa wanaokesha kufanya ujasusi wa kila kona duniani kiasi cha kujua hadi idadi ya vyama vya siasa vya nchi ya kizembe k yetu hapa TZ...

Sasa CIA ni Intelligence Agency wakiwa wamekusanya data za kila nukta za kila taifa kwenye planet wanasema vile kisha kuna vitoto vya Kenyata na Mama Samia vinakaza shingo na msuli wa kalio kuizomea Russia huku wakipigwa chapuo na mzee mmoja hapa mfungua geti la US embassy nchini...

Jaman jaman, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeeeeenhe
 
I thought you said Western media is biased, why the hypocrisy and double standards
Wameona uongo siku zote haufui dafu kwenye ukweli .....na kweli inaweka mtu huru asa imebidi tu wawe wakweli ...maana hamna namna ....
 
Back
Top Bottom