Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huwa najiuliza kipi wanatumia WaUS mpaka wataiwan wawe na kiburi hivyo kwa china. Hata mtu asiyejua kiasi gani lkn anajua kbs kwa china Taiwan hawana hata asilimia 0% ya kushinda.

Sema China aende tu taratibu na hivyo vijamaa maana kuvipiga ni kujipiga mwenyewe. Atakiharibu alf apate kazi ya kukitengeneza upya. Endapo China itaivamia Taiwan hakuna atakaeingilia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😂😂😂 tatzo la pro🇷🇺🇷🇺 ni kuwa mnapenda sana kumkadilia mtu . Mara utasikia 🇺🇦🇺🇦 anapigwa na 🇷🇺🇷🇺 ndani ya saa 24 biashara inakuwa imeisha 😂😂😂.
Sasa hivi mmeanza oohhh taiwan hawezi shinda hata 0% kwa China 😂😂😂.
Nakukumbusha tu . Dunia hii nchi ikishakuwa na jeshi tu. Usi pende kuikadilia . tujifunze kwa vita inayoendelea 🇺🇦🇺🇦🇺🇦.
 
Yes yes, na hiyo Monopoly kuja kuisha si leo wala kesho labda Unipolar ya US ife... kwasabab wana Back up kwenye serikal yao... Angalia Competitors wanavopigwa pin kwa ban zisizo na mashiko....

Huawei hapo alim'overtake Apple kua wa pili katika Marketshare ya Mauzo ya Smartphones duniani na ndie aliyekuwa mbele kwenye mbio za 5G Technology alichofanywa nazan wakikumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kisingizio ikawa ni madai kua kampuni lina mahusiano na Chinese Communist Party CCP...

Tiktok nae hakukawia akaingizwa kwenye blacklist ya Entity ambazo wanadai zinatishia usalama wao kiasi kwamba wakaanza kuiforce iuze biashara yake kwa soko la USA...

Ogopa kitu kinaitwa "Rumours" zinaenea kama moto wa petrol, nakuzikanusha sasa ndo shughul.

Kuna kiumbe mmoja aliwahi sema, Ukimiliki Food Supply unaweza kucontrol watu, Ukimiliki Oil na Nishati unaweza Control Bara, ila ukimiliki fedha unacontrol dunia.

That's how tunaendeshwa kila kona na hizi punguani ambazo zimekamata nyanja nyingi kwenye ulimwengu.

Ushawah kujiuliza why most of billionaires ndani ya US hawana asili ya hapo Marekani...

Mfano
Elon Musk wazazi wake ni mmoja kutoka South Africa na mwingine Canada ila sasa ni US citizen.

Jeff Bezo kazaliwa mexico wazaz wake wana asili ya Denmark nae sasa ni US citizen.

Sergey Brin, Co founder wa Google na 7th Richest person on the planet ni mzaliwa na ana asili ya Russia ila sa hvi ni Mmarekani... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na wengineo wengi tu na hapo hujaitaja list ya wayahudi... Kama Marc Zuckerberg wa FB, Larry Ellison wa Oracle, Larry Page huyu Co-Founder mwingine wa Google, Michael Bloomberg mwenyewe na utitiri mwingine kibao...

Unaeza kuotea kwanini?

Ndio dunia yetu lakini [emoji119]
Mkuu tupe sababu ili tuelimike
 
.
Screenshot_20220413-200327.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tatzo la pro[emoji635][emoji635] ni kuwa mnapenda sana kumkadilia mtu . Mara utasikia [emoji1255][emoji1255] anapigwa na [emoji635][emoji635] ndani ya saa 24 biashara inakuwa imeisha [emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa hivi mmeanza oohhh taiwan hawezi shinda hata 0% kwa China [emoji23][emoji23][emoji23].
Nakukumbusha tu . Dunia hii nchi ikishakuwa na jeshi tu. Usi pende kuikadilia . tujifunze kwa vita inayoendelea [emoji1255][emoji1255][emoji1255].
Kushindwa kutofautisha kati ya 'kumkadilia' na 'kumkadiria' ni jambo linalonifanya nione tatizo linapoanzia ukashindwa kutofautisha kati ya 'literal' na 'figurative'

Taiwan hawana hata 0% ya kushinda kwa china. Figuratively or literally.

Mtu akikuambia nipe dk 0 ntakuwa hapo we unahisi kweli atafika ndani ya dk 0.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sema sijui upewe elimu.
Kuna watu ma pro west wanajifanya wana hekima humu kumbe kwq kichwani hamna kitu ...ni mashabiki tu ......namaanisha kuwa hawana hoja zenye maana ...hoja nzito ambayo hata pro russia tukisoma tunatafakari namna ya kujibu hekima zilizo mbele yako ........lakini kinyume chake ...pro west wana majibu mepesi sana ......[emoji22][emoji22][emoji53][emoji53]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri akili yenu pro[emoji635][emoji635] wa humu naijua [emoji23][emoji23][emoji23]. Nakupa siku 2 ntakuja kukukumbusha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ishiiii..[emoji23][emoji23][emoji23]...huna hoja kaa kushoto kaka
 
Yani kitu wasikujuwe Warusi wenyewe ila ukijuwe wewe mmatumbiwa wa Nyamisati?

Mbona Wabongo mna vituko sana?😄😄
Nakuomba uelewe ndugu,nimesema hivi,Kuna vitu sisi hatuvijui na hata Warusi wengi Hawa ijui wanavijua wachache TU Rais na watu wake wa usalama..
Sijasema Mimi navijua .
Na hii Iko hivyo kwa Kila nchi.
 
Kushindwa kutofautisha kati ya 'kumkadilia' na 'kumkadiria' ni jambo linalonifanya nione tatizo linapoanzia ukashindwa kutofautisha kati ya 'literal' na 'figurative'

Taiwan hawana hata 0% ya kushinda kwa china. Figuratively or literally.

Mtu akikuambia nipe dk 0 ntakuwa hapo we unahisi kweli atafika ndani ya dk 0.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
hata kwa 🇺🇦🇺🇦 mlisema hivi . lakini wote tunajionea😂😂😂😂
 
kutana na pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 asiyeamini vyombo vya taarifa kutoka west . ila anaamini CIA ni chombo kinachokusanya data na chenye uhakika.😂😂😂😂
Usipotoshe bana watu wenye akili zetu tumemuelewa.
Mbona kasleza vizuri tu.
Na Mimi kwa kuongeza namuunga mkono kwa kusema hivi.
Hata vyombo vya west vinaripotigi ukweli kabisa lakini vinapokua na sababu ya kupotosha hupotosha.
Kwa vita hii sehemu kubwa sana vinapotosha.
 
Back
Top Bottom