Nimekaaa nikafikiri sana uimara wa US, EU na NATO, pia nikajiuliza idadi ya silaha zinazopelekwa ukrane na wanaojitolea ni wengi mno! sasa kwanini wnapelekewa moto na kwanini kila siku manchi zaidi ya 30 je yamemshindwa mtu mmoja hata kwa kueneza propaganda hata kwa nchi yake ndani kwa ndani,
kwanini dunia inayumba kiuchumi?
Kwanini bwana ze comedy yeye ni kuomba msaada kote kote hadi Africa? aliyopata haimtoshi? Bwana wee nilichogundua
i. kuna nchi zipo nyuma ya urusi , ila zipo nyuma ya pazia
ii. kuna matajiri wapo nyuma ya urusi wameshoshwa na maonezi ya kimagharibi.
iii. Eu,US,NATO hawajali kuhusu UKRANE kama nchi na raia wake wanjali matakwa yao wapo radhi, nchi ifutike na wameitoa chambo kwa gharama yoyote.
iii. kuna nchi zipo EU na NATO, zinzosupport US na NATO kinafki ili wasionekane wao wamejitenga
iv. Africa hatujui tunataka nn?
v.bwana zalenksky aache ufala, awe mpole kama ua ili asije kulaumiwa na vizazi vijavyo ama asije ifanya ukrane koloni la mtu
vi. Vita vya nukes is around the corner wewe nyuma ya keybords ujue hii kitu lazima iku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bn...
1. Washirika walio nyuma ya Russia ni marafiki wake wa siku zote hasa kutoka BRICS, ila hawamsaidii kivita. Kwasabab none of them are even near closer to Russia in term of Military, kawaacha mbali mno.
2. Hakuna matajiri walio nyuma ya Russia... As far as I know most billionaires wako na the same agenda, na Agenda zao ziko kimlemgwa wa kimagharibi. Hakuna Billionaire anayefurahia mfumo wa kisocialist uliopo upande wa mashariki.
3. Uko right kabisa... None of these orgs UN and NATO care about Ukraine na Raia wake... What they are after ni kupigana na Russia to the last Ukrainian hadi wahakikishe kadondoka.
4.Yes, Africa obviously hatujui nini twahitaji, na tupo hivo kwasabab viongozi wengi vibaraka wa jua linaozamia.
5. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ataachaje ufala sasa ilhal anaenjoy kua "faraja"... Sio rahisi na tusisahau tu kile unachofeed your mind kinashape maisha yako. Huezi kutegemea cha tofauti zaidi ya maigizo kutoka kwa mtu ambae katumia utoto + ujana katika maigizo na vichekesho. Hivo ndivo mind yake ilivo ajab zaidi mshauri mkuu anatoka from the same Entertainment Industry...
the whole carrier ni Comedian, then ghafla President [emoji848]
6. Vita ya NUKES sio rahisi kutokea, ukumbuke sabab kubwa inayowafanya NATO hadi sasa wasiingie Ukraine officially sio kwasabab Ukaine sio member wa NATO ka wanavotudanganya... Bali ni hizo Nukes zilizo lala kwenye ardhi ya Russia.
Direct confrontation with such a country ni janga la DUNIA, Hizo Nukes zaidi ya 6000 zikianza kupepea angani itakuwa ndio mwisho w viumbe hai ardhini.
Wanapenda ugali hao [emoji1787] usiwaone hivi hawawezi thubutu huo Uzwazwa. Watabaki hivo hivo na vijikwazo vyao, Operetion itaisha. Multipolarity itazaliwa dunian then Heshima itarudi mjini.