Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza Mama Nilisha Bloq Kitambo sana
 
Wenye macho mnaona lakini [emoji848]? Hii kweli ndio wayaoipigia chapuo kila kona ya Dunia???? Nanukuu For a democracy to survive, we need more content moderation, not less

Hiyo ni ka kusema "For democracy to survive they need to engrave their leftist trash on everybody...." Na bado wanapigiwa makofi ya vigeregere wanashangiliwa [emoji849]
 
[emoji1][emoji1]
 
Wamarekani sio watu.
Walimzushia Assad wa Syria katumia silaha za sumu kuua watu huko Syria lakini kume wao ndio Wana mpango wa kutumia silaha za sumu.
Wacha Putin afichue ushenzi wao.
Op hii ni halali kabisa.
 
Nimeliona hilo jina la Twitter nikakumbuka kuna kile kijitoto cha Nairobi na moron m1 hivi huwa anapost utumbo mwingiiiiiiii kutoka Twitter nimewaweka kwenye "Ignoring list" na wenzao...

Sasa huwa nikiona wameni-qoute kwenye kile nilichopost hum huwa nabaki kucheka tu. Na bahati mbaya hivi sasa simpei akili ndogo mda wangu... MFs. Lakini havikomi...
 
Tafakuli ...
 
Wengi wamekata tamaa, walidanganywa kuhusu Russia. Wengine ni watoto kiakili movies za akina Tom Cruise zinawadanganya. I'm pretty sure kuna kitu wanaelewa... ni wa KUWAPUUZA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…