thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
Putin kapagawa kuona anapakatwa na Ukraine!Ni upuuzi, Putin atakuwa na tatizo kubwa sana kichwani. Dunia haihitaji vita vya nuclear kwa wakati huu.
Kauli hii ni tishio hata kwa warusi wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh teh chai tamu sana.Russian President Vladimir Putin ordered the military to put the nation's nuclear deterrence forces on high alert Sunday following "aggressive statements" from NATO.
"Top officials of leading NATO nations indulge in making aggressive statements about our country. Therefore, I am ordering the minister of defence and the chief of the general staff to put the deterrence forces of the Russian army into special combat duty mode," Putin said in a briefing with Defence Minister Sergei Shoigu and Chief of General Staff Valery Gerasimov in Moscow.
Acha ushabiki maandazi Kila mtu akiwekiwasha Nyuklia plants kama siraha hakuna mtu atasurvive chini ya jua nakuambia Soon Dunia itageuka mithili ya masimulizi ya Jehanumwoyo woyo woyooooooooo Qomamae haendi mtu Mars hapa hapa USA inaangamizwa. Nuclear? Ile kitu inajibilingishaga kama jongoo aliyekuswa ila hii ni habari njema sana kwangu. Naipenda vita naipenda amani pia maana vita inaleta amani na amani huleta vita.
weeee mungu apitishie mbali maana nililiona linavyotembea kule jeshini wanaliita living thing kwa sababu linajongea,linapumua na lina toa sauti na kikubwa zaidi linaua hadi bystanding creaturesLitue kwenu hapo uone kama utaongea Hayo
Brother Putin Punguza Jazba Wengine Tunapenda familia zetu
Nani anasapoti vita vya Nuclear sasa hivi? Nchi zipi?Dunia ishachoka na undezi wa Marekani muda umeshafika wa kuanza upya na kuheshimiana...
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
I will b happy if it will happenIko hivi Ukraine ameomba raia wa nchi zingine waje kumsaidia. Hii ni danganya toto. NATO na Marekani wamemtuma aseme hivyo kuuficha ukweli. Kwa sasa Mrusi anapigana na makomandoo wa NATO na Marekani.
Ujerumani kaeleka silaha na Marekani vilevile na washirika wake.
Silaha hizi ni nzito na nyepesi. Baada ya kuzisimika utasikia Ukraine ameshambulia Moscow.
Hapo sasa ndipo siioni tena Ulaya kwenye uso wa dunia.
Ataanza na Poland kisha wengine wanafuata.
Mrusi siyo zezeta.
Iko hivi Ukraine ameomba raia wa nchi zingine waje kumsaidia. Hii ni danganya toto. NATO na Marekani wamemtuma aseme hivyo kuuficha ukweli. Kwa sasa Mrusi anapigana na makomandoo wa NATO na Marekani.
Ujerumani kaeleka silaha na Marekani vilevile na washirika wake.
Silaha hizi ni nzito na nyepesi. Baada ya kuzisimika utasikia Ukraine ameshambulia Moscow.
Hapo sasa ndipo siioni tena Ulaya kwenye uso wa dunia.
Ataanza na Poland kisha wengine wanafuata.
Mrusi siyo zezeta.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] CHINA nae naona anajisogeza RUSIAKeshaishiwa pumzi maskini.
Tulia na bora tufe wote na kuliko wamarekani waishi sisi tufe. Alafu nuclear haiui bali inaangamiza kwa hiyo ondoa shaka upo salama huko chamwino.Acha ushabiki maandazi Kila mtu akiwekiwasha Nyuklia plants kama siraha hakuna mtu atasurvive chini ya jua nakuambia Soon Dunia itageuka mithili ya masimulizi ya Jehanum
Maana Kila mtu anazo Tena huyu Marekani mbaya sana Yale madude aliyopiga Hiroshima na Nagasaki ilikua surprise Kwa ulimwengu wa vita Sasa ukitaka Kila mbabe atoe hayo madude
Hata huu upupu na ushabiki unaotumia humu sidhani kama utapata nafasi Tena katika maisha Yako kupost Tena!
Vita mbaya muraaa!
DuuuuWachambuzi wa vita wanasema silaha hizi zikitumika kwa siku tutakufa milioni 24
Yaani sijui nisema dunia mpya itakuja karibuni
Acha nisogee kwenye bunker tu
Urusi ni maskini tuu na kwenye vita kama we maskini unakuwa huna lolote zaid ya kubwabwaja ... Hata North Korea sjui Iran wote ni maskini tuu they can't hold aggressive war for more than a year ...!! Huwa kujitunisha tu na kumdanganya wajinga tangu lini maskini akapmpiga tajiri kwenye full scale battleUrusi ni dhaifu alitudanganya kuwa ana silaha na uwezo kuipiga nato kwa masaa tu kumbe uwongo!!!.
na yale mavyuma vyuma mnayotuonyesha humu usikute hayafayi kazi ni maplastic tu yamepakwa rangi ya shaba ili watu wamuogope.
Una akili sawa? Yaan NATO watangaze kupeleke vikosi afu wewe ucheke??Ni upuuzi, Putin atakuwa na tatizo kubwa sana kichwani. Dunia haihitaji vita vya nuclear kwa wakati huu.
Kauli hii ni tishio hata kwa warusi wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Alichukulia wenzake poaKwa kifupi kashindwa mpaka saivi, ndio maana anataka kuhamia kwenye nuclear.
Dharau zina mponza[emoji3]
Amesema ni kwa ajili ya NATO sio UKRAINE na URUSI hawana ugomvi wa kutumia NUKE.Putin kapagawa kuona anapakatwa na Ukraine!